TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Da sikuwa mpenzi wa Ruge, Kibonde wala Clouds lakini nimeumia sana. RIP.
 
Hakika msiba wa Ruge ulitaka uende na wengi, kwani kuna wengine walipata ajali maeneo ya Dodoma wakitoka kwenye mazishi ya marehemu ni Mungu tu kawanusuru ingekua balaa.
 

haya ndyo maneno ya dudu baya!! jamaa kumbe muda mwingne ana akili na anaweza kuongea vizur na mazuri kwa watu
 
kwan we ndo msemaji wa familia ya kibondee?kama wanafuta thread yako c uwe mpole tu ndugu
 
Una maanisha wasiopitia magumu wao hawamuhitaji Mungu?!
Mkuu! Wote tunamuhitaji MUNGU; Tuko hai kwa Neema yake tu! Kibinadamu,tukiwa wazima tunajisahau kua MUNGU yupo na yakitukuta ndio tunatambua na hata kuhisi uwepo wake - kama tukimtafuta lakini! Maana kuna wanaopitia magumu na kuishia kumsahau MUNGU na hata kudiriki kusema hakuna MUNGU!
 

Nilikuwa najiuliza ni kwanini Mtaka anaonekana RC na kiongozi bora sana.

Juzi nilipata kumsikiliza akielezea kwamba JK aliwachukuwa miaka hiyo ya zamani na kuwapeleka katika semina za uongozi.

Haya ya mkuu wa mkoa kugeuka mganga mkuu na kuthibitisha kifo ni maajabu.
 
Kuna tetesi ruge alikuwa poisoned,je kifo cha kibonde ni kuzima hisia flani?..wisdom will kill me o
 
Anatangaza huo msiba kama nani? Ila CMG kuna muda mnapenda kuinuma mambo yaonekana makubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…