TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Majuzi kuna maono niliyaona katika njozi huwenda tukawa na wakati mgumu.

Nadhani huu mwaka tutapata mapigo kwa wapendwa wetu wa karibu na huwenda hata viongozi wakubwa zaidi wakawa miongoni mwao.
 
Kuzimu hakuna bia,
Ndio maana tuko hapa tunakunywa bia,
Na siku ukiondoka zako pia,
Rafiki zako zako turakunywa zako biaaaaa

Twendeeeeee!

RIP kibonde
In heaven there is no beer
Thats why we're drinking here
And when your gone from here
Your friends will drink your beer

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Acha kabisa mkuu, enzi zile za mechi za mashule pale kwenye kauwanja kadogo ka mpira wa miguu, halafu mechi ikiisha tunahamia ndani kwenye ule uwanja wa basketball. Maisha ni mafupi sana, haya nayoyaongea ni mambo ya miaka ya 1988 - 1991.
Asee umenikumbusha mbali michezo ya don bosco,hivi bado ipo pale upanga?

MTC | 101| [emoji769]
 

Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.

Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.

Bwana ametoa, Bwana ametwaa

Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums

View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao​
R I P may God be with you in your journey......
 
Back
Top Bottom