Offshore Seamen
JF-Expert Member
- Mar 9, 2018
- 5,489
- 14,091
Hakika utakumbukwa kwa umahiri wako katika utangazaji.
R.I.P Kibonde
Sent using Jamii Forums mobile app
R.I.P Kibonde
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usiseme sijui anafuata nani unaweza ukawa wewe!Duh kifo cha nne kuksikia mm. vtatu watu maarufu kmoja cha wakawaida..
[emoji26][emoji26]
Baada ya hk cjui knafwata kp?
Mungu tusamehe
R. I. P
Mwenye suruali ya kombati ni nani?VIJANA, NGUVUKAZI INAPUNGUA DUNIANI.View attachment 1040010
Mkuu nadhani inabidi uskilize ile clip ya mazishi ya mke wake. Walisema tusimsingizie Mumngu na hivi vifo kwa kuwa kama Yesu alilia Lazaro alipokufa, kwa nini useme ni Mungu anavuna?
In heaven there is no beerKuzimu hakuna bia,
Ndio maana tuko hapa tunakunywa bia,
Na siku ukiondoka zako pia,
Rafiki zako zako turakunywa zako biaaaaa
Twendeeeeee!
RIP kibonde
Asee umenikumbusha mbali michezo ya don bosco,hivi bado ipo pale upanga?Acha kabisa mkuu, enzi zile za mechi za mashule pale kwenye kauwanja kadogo ka mpira wa miguu, halafu mechi ikiisha tunahamia ndani kwenye ule uwanja wa basketball. Maisha ni mafupi sana, haya nayoyaongea ni mambo ya miaka ya 1988 - 1991.
R I P may God be with you in your journey......
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
Kwa hakika wanamuhitaji MUNGU!! Wanayopitia ni magumu sana sana!!Clouds media Mungu awatie Nguvu aisee...[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji26][emoji26][emoji26] Kifo ni Siri kubwa sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app