TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Tumwambie Bashite Jiwe kuwa sisi wamadamu ni marehem watarajiwa!!Je tutakumbukwa kuteka kutesa wapinzan wetu kuwabakia kesi,kupanga kupiga risas binadam wenzetu wenye miili ya nyama kama sisi huku sis tukiendelea kutumbua kitumbua cha taifa huku tukivimba raha mstarehe wakati wenzet waliowengi wakiishi maisha ya tabu?Kudharau maswali haya ni kujitangazia ushetani!!
 
Sawasawa. Hivi lile lori lililosababisha ajali ya wafanyakazi wa Clouds waliokuwa wanatoka msibani limekamatwa? Ile inasound a classic case....
 
Halafu karibia wote ulioorodhesha walikuwa wanajihusisha moja kwa moja na siasa na unaweza kusema karibia wote ni siasa ilikuwa sababu ya vifo vyao.

Naona kama umejichanganya kidogo.
 
Haya maneno waandikiwe wana-CCM kwenye brochures nyingi wagawiwe wasome,waelewe na wayaishi maneno hayo.
 
Kama umeanza kuandika mirathi unisinisahau mimi sky eclat

Kwenye mirathi aandike pia ni kada wa chama gani na nani asingependa ahudhurie msiba wake kwa sababu zama hizi zimebadilika sana....
 
Nikiwaza kifo mimi uwa nakula nakunywa na nasali .....

Imagine uwa nalala na biblia chini ya mto kiufupi bado sielewi kifo nini......

Uwa wanakutana na nini kule je kuna maisha tena .......

Kiufupi naogopa sana kifo ingekuwepo shule ya kufundisha kifo ningeenda nikakisome.......

Na ndio uwa nawashangaa wanaotaka kutanguliza wenzao wakati wao wanaishi daaah uwa nawashangaa sana ujasiri wanaupata wapi?.......

Imagine unakuwa unalindwa kwa majeshi na kila kitu ila ukifa ni kwenye udongo tu kama chokolaa wa pale Buguruni au teja kinondoni........

Dah Kifo........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli vifo kama hiv hutukumbusha maisha yetu ni mafup sana hapa dunian tujitahd kuish kwa wema.

Tusidharau kufanya kheri hata kama tunaiona ni ndogo kiasi gani na tuache kutenda ubaya hata kama ubaya huo kwenye macho yetu tunauona mdogo.

Kifo ni mawaidha kwa wale wenye imani.
 
Akili zimeanza kuwarudi.

Wanaodhani wataishi milele kwa vile wamepewa madaraka wanatakiwa wajifunze kwa hivi vifo, hakuna aijuae kesho, Kibonde alipanda ndege akiwa mzima mwenye afya karudi ndani ya sanduku.

CCM; Jiwe, Bashite.
 
Halafu karibia wote ulioorodhesha walikuwa wanajihusisha moja kwa moja na siasa na unaweza kusema karibia wote ni siasa ilikuwa sababu ya vifo vyao.

Naona kama umejichanganya kidogo.
Ujumbe wangu ni watu kuondoka wakiwa bado vijana. Hao wote niliowataja wameacha historia licha ya kutofikisha hata nusu karne.
 
Akili zimeanza kuwarudi.

Wanaodhani wataishi milele kwa vile wamepewa madaraka wanatakiwa wajifunze kwa hivi vifo, hakuna aijuae kesho, Kibonde alipanda ndege akiwa mzima mwenye afya karudi ndani ya sanduku.

CCM; Jiwe, Bashite.
Akili siku zote zipo mkuu. Ni katika kutafakari tu haya maisha. Kibonde mara nyingi tu tunakutana madisco, maana yake sitamuona tena.

Ile sauti yake na yale masikhara yake ni vitu vilivyobaki kuwa historia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…