TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

Ujumbe wangu ni watu kuondoka wakiwa bado vijana. Hao wote niliowataja wameacha historia licha ya kutofikisha hata nusu karne.

Nimekupata ila bila siasa wengi wa hao uliowaorodhesha usingewajua. Tena kina Malcolm X, MLK, Lennon na hata JFK walikuwa wanafanya siasa za kiuharakati kabisa kwa sababu walikuwa wanapigania hali tofauti na ya wakati huo.

Kwa maana nyingine, ujumbe wako ni kimyume na walichokuwa wanafanya. Sijui umenielewa?
 
Mkuu, pumzi ikikata tu unageuka kuwa mzigo, haupitishwi tena ndani ya ndege, unapelekwa kule kwenye sehemu ya mizigo.

Mwalimu Nyerere kwa heshima yake ndio alipelekewa ndege na mwili wake ukawekwa katika ile sehemu ya abiria, vinginevyo na yeye ilikuwa apelekwe kule inapowekwa mizigo.
 
Nashukuru kwa mawazo yako, ujumbe wangu ni kuondoka duniani mapema kuliko inavyotarajiwa. Nimemuweka Levert ambaye ni mwanamuziki.

Bwana mdogo wa Dar alikataa kupatanishwa na RIP Ruge, alijiona wa maana sana wakati hajui lini pumzi inakata.
 
Nashukuru kwa mawazo yako, ujumbe wangu ni kuondoka duniani mapema kuliko inavyotarajiwa. Nimemuweka Levert ambaye ni mwanamuziki.

Bwana mdogo wa Dar alikataa kupatanishwa na RIP Ruge, alijiona wa maana sana wakati hajui lini pumzi inakata.

Sawasawa. Tuwe watu wa action badala ya porojo nyingi.

Huyo mwingine alimiss a rare opportunity ya kujipaisha sana kisiasa. Angefunguka pale akatoa machozi yake yale na kuelezea kosa alilomfanyia BFF wake, watu wangemuonea huruma.

Ila ndiyo hivyo, maarifa madogo na kiburi ukivichanganya unapata nini?
 
Na hata kama ulikuwa unalindwa kama nini.....siku wakikuzika wote wanakuacha unabaki peke yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili siku zote zipo mkuu. Ni katika kutafakari tu haya maisha. Kibonde mara nyingi tu tunakutana madisco, maana yake sitamuona tena.

Ile sauti yake na yale masikhara yake ni vitu vilivyobaki kuwa historia.
Kuna jitu kama Msiba linajitapa wazi kwamba kama angekuwa raisi angemnyonga Lissu na watu wengine wanaoiponda serikali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu comment yako mpaka Khadija kopa ameiandika masaa matano yaliyopita, Nahisi imechukuliwa huku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tayari watu wa Mwanza wameshatoa heshima za mwisho kwa marehemu Ephrahim Kibonde na tayari mwili unaelekea Airport kuanza safari ya kuelekea jijini Dar es salaam kwaajili ya maziko.
 
Msafara uliobeba mwili wa rafiki yetu mzee wa mastory ya town ephraim kibonde (Kibs) ukiwa unaelekea Airport Mwanza tayari kusafirishwa kuja Dar es salaam. Msiba upo nyumbani kwao Marehemu Mbezi Beach karibu na Mbezi Resort
 
[emoji22][emoji22][emoji22]...nimepata hisia kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama utani!!!

Amma kweli duniani tuishi tukiheshimiana hili siyo jambo la mchezo mchezo!

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Bado na kubwa lao msaga saga! Miwaya haimwachagi mtu salama. Chicken are coming home to roost . Meza ARV kadri utakavyo lakini kuna siku nazo zinazidiwa na virusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kifo kinaweza kumpata yeyote hata aliyekuwa na afya si lazima mtu awe mgonjwa hasa kama unaosema wanaotumia Daily kimoko,,,wapo wengi kitaa wana Nagwanda sijaona lakini mpaka leo wandunda furesh wale wazima wanadondoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…