Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,428
- 3,937
Ujumbe wangu ni watu kuondoka wakiwa bado vijana. Hao wote niliowataja wameacha historia licha ya kutofikisha hata nusu karne.
Nimekupata ila bila siasa wengi wa hao uliowaorodhesha usingewajua. Tena kina Malcolm X, MLK, Lennon na hata JFK walikuwa wanafanya siasa za kiuharakati kabisa kwa sababu walikuwa wanapigania hali tofauti na ya wakati huo.
Kwa maana nyingine, ujumbe wako ni kimyume na walichokuwa wanafanya. Sijui umenielewa?