Zamu ya watu kunywa bia zakeMbinguni hakuna biaaa,
Ndio maana tuko hapa tunakunywa bia, na siku ukiondoka hapa pia.
Rafiki zako tutakunywa zako bia!
R.I.P Kaka Kibonde!
Sina sababu ya kusikiliza tena Jahazi!
Da! Huzuni sana!
Sina shaka na hilo maana hata huyo kibonde alikuwa ni mzee wa kusifia ununuzi wa ndege, hadi akawaponda madoctor wale wakamfungulia uzi humu,Gardner G habash ameyasema hayo alipohojiwa na kituo cha ITV kua hali ya rafiki yake na mtangazaji mwenzake ephraim kibonde ilibadilika na kuanza kujisikia vibaya walipokua kwenye msiba wa boss wao ruge mkoani kagera.
baada ya kumkimbiza katika hospital ya rufaa wilayani bukoba mkoani hapo dawa alizotakiwa kumeza ili kupata nafuu zilikosekana hospitalini hapo, walizitafuta katika maduka ya dawa bila mafanikio kwani maduka mengi ya dawa mmda huo yalikua yamefungwa.. Ndipo hali yake ikazidi kuwa mbaya wakampeleka mwanza had umauti ulivyomkuta
KUZIMU HAKUNAAA BIAAAA! NA NDIO MANA TUPO HAPA TUNAKUNYWAAA BIA, NA RAFIKI ZAKO TUTAKAOBAKIAAAA! UKIONDOKA TUTAKUNYWA ZAKOO BIAAAA. . .! TWEENDEEEEEKuzimu hakuna bia.
Hii ni kweliMara nyingi hutokea kifo cha mwanaume muda mfupi baada ya mke wake waliyeshibana kufariki.
Rest In Peace Brother
Nasasa tunaingia kwenye mastori ya town part two.KUZIMU HAKUNAAA BIAAAA! NA NDIO MANA TUPO HAPA TUNAKUNYWAAA BIA, NA RAFIKI ZAKO TUTAKAOBAKIAAAA! UKIONDOKA TUTAKUNYWA ZAKOO BIAAAA. . .! TWEENDEEEEE
Ebana katika mastor ya town part 2 tumuangalie mwalimu aliechapa akaua nae kahukumiwa kunyongwa. . huko atakapoenda mwalimuuu hakuna biaaaaa . .Nasasa tunaingia kwenye mastori ya town part two.
Haiwezekani nini? Kifo hutukumbusha kuwa dunia si mali yetu... Tujiandae!Haiwezekani!
Bado wadogo daaah[emoji24][emoji24]Kibonde na wanae siku ya mazishi ya mkeweView attachment 1040386View attachment 1040387