TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

TANZIA Mtangazaji wa Clouds FM, Ephraim Kibonde afariki dunia. Azikwa makaburi ya Kinondoni,Dar es Salaam

rafiki zako tuko hapa tutakunywa zako bia 🎶 🎶
ndo maana skungapi ngapi apa alkua anamkazania sana gadner na urithi wa wanae daah
RIP KIBS

kibs didiwadidaadiidiikikiikiiibondeeee😂😂😂😂😂😂😂
gadna. jimy kabwe
 
The essence of equality can be manifested in death, we are all equal under death.

"Usijione mtamu" Pray so you won't end up in Shetty's hands.
 
Ohoooo, mkosi gani tena huu cloudsfm umwewapata? Anyway, kazi ya Mungu haina makosa, R.I.P. Kibonde
 
Mkuu tuyaache HAYO.
RIP ephraim kibonde.
kifo chako kinanikumbusha miaka kadhaa iliyopita lililipotokea tukio la kutekwa dr. ulimboka na mgomo wa madaktari.

kibonde kwa kupitia kipindi cha radio cha jahazi, ulikuwa upande wa kuitetea serikali na kudhihaki harakati zote za madaktari za kupigania haki yao.

ndipo baadae zikaanza kuzagaa taarifa kwamba wewe mwenyewe ni mgonjwa wa ukimwi na unawategemea madaktari hao hao kusogeza siku zako za kuishi.

inalilahi wainalilahi rajiun

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna watu hapa duniani wanajiona miungu watu,,wananyanyasa wenzao,,wanatesa wenzao ,,wanaombea watu wengine vifo,,wanajiapiza kuua wenzao,,wanaua wenzao,,wanapiga wenzao,,wanawafunga wenzao,,wanapiga watu lisasi,,wanawakata mapanga,,wanateka watu,,wananyonga watu na kuwafunga kwenye viroba na kuwatupa baharini..

kupitia hii misiba iwe funzo wote ipo siku Mungu akiamua tutalala
Wapi Chibolo🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️
 
The essence of equality can be manifested in death, we are all equal under death.

"Usijione mtamu" Pray so you won't end up in Shetty's hands.
Nimejikuta nacheka tu eti shetty hahahaaa dah
 
Back
Top Bottom