munchamuja
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 350
- 883
Nimufanga mwanirumunchamuja umufanga? Mwenzetu katangulia sie tujiandae.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimufanga mwanirumunchamuja umufanga? Mwenzetu katangulia sie tujiandae.
Unazumzia kale kapicha kadogo pale pembeni ya TV,au...?"clouds tv wabadilishe picha waweke ya Kibonde sasa" (ni ushauri tu)
RIP ephraim kibonde.
kifo chako kinanikumbusha miaka kadhaa iliyopita lililipotokea tukio la kutekwa dr. ulimboka na mgomo wa madaktari.
kibonde kwa kupitia kipindi cha radio cha jahazi, ulikuwa upande wa kuitetea serikali na kudhihaki harakati zote za madaktari za kupigania haki yao.
ndipo baadae zikaanza kuzagaa taarifa kwamba wewe mwenyewe ni mgonjwa wa ukimwi na unawategemea madaktari hao hao kusogeza siku zako za kuishi.
inalilahi wainalilahi rajiun
Presha ndugu.
Rest In Peace Marehemu kibonde.
Ulikuwa nguli wa tasnia yako ya habari.
Nitakukumbuka sana hasa nikikumbuka matangazo ya ngumi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi Chibolo🙆🏽♂️🙆🏽♂️🙆🏽♂️kuna watu hapa duniani wanajiona miungu watu,,wananyanyasa wenzao,,wanatesa wenzao ,,wanaombea watu wengine vifo,,wanajiapiza kuua wenzao,,wanaua wenzao,,wanapiga wenzao,,wanawafunga wenzao,,wanapiga watu lisasi,,wanawakata mapanga,,wanateka watu,,wananyonga watu na kuwafunga kwenye viroba na kuwatupa baharini..
kupitia hii misiba iwe funzo wote ipo siku Mungu akiamua tutalala
Nimejikuta nacheka tu eti shetty hahahaaa dahThe essence of equality can be manifested in death, we are all equal under death.
"Usijione mtamu" Pray so you won't end up in Shetty's hands.