Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kwa kingungeMara nyingi hutokea kifo cha mwanaume muda mfupi baada ya mke wake waliyeshibana kufariki.
Rest In Peace Brother
Dah!! Kama wanakutana huko baada ya kuumaliza mwendo salama bila shaka atafikisha yote aliyoyashuhudia kwenye msiba wa boss wake.Jamani alikuwa mc bukoba alimuaga ruge kwa uchungu dah.rip kibonde msalimie ruge mwambie yote alofanyiwa na wa tz
daah iam speechless kwa kweli
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
Jamani..sijui kbs
Umeandika ujumbe mzito sana ndugu,binadamu wote inabidi tuishi kwa kulitambua hilo,dunia ni mapito tuishi kwa upendo.R.I.P kaka kibonde.View attachment 1039945siri ya kifo aijuae muumba, hapa alikuwa anasimamia wekaji wa mashada ya marehemu ruge, wala hakujua siku 3 mbele zinazofuata mauti ya tamkumba, tunatembea na vifo hakika sisi si lolote wala chochote, Mungu ampe kauli thabiti amina.
KumekuchaaaaPole ndio hivyo, Mama kileo diwani wa Mikocheni naye kamfuata mumewe na mtoto wake Langa
MTC | 101| [emoji769]
Daahh!poleni sanaa!!!Pole ndio hivyo, Mama kileo diwani wa Mikocheni naye kamfuata mumewe na mtoto wake Langa
MTC | 101| [emoji769]
Ahsante Sana, upo wewe JF sweetheart
Tulikosea wapi wanadamu mpk Mungu ukaamua kutuletea KIFO? Eeh baba Sijui hii niite Adhabu au niite nini lakini BABA najua unatusikia TUSAMEHE tubadilishie hii adhabu tunajaribu kuizoea lakini haizoeleki BABA,natamani miaka irudi nyuma tuweze kuongea nawewe uso kwa uso kama kina MUSA na manabii wengine ulivyokua ukiongea nao Hakika Ningesimama chini yako na kuomba ufute hiki kitu.
Mungu huna makosa kazi yako sikuzote hakuna wakuipinga lkn KIFO ni zaidi ya Adhabu baba,tuepushie tupe mbadala au maandalizi ya kukipokea lakini BABA unatushtukiza TU hutuambiii why lord? Tuonee huruma Tunaumia mioyo yetu angalia tunaishi kwa kutojiamini Maisha yanapoteza ladha, tusaidie baba Tukiwa bado hata hatujapona kidonda kingine tayari unakuja na lingine eeh BABA tufanye nini sisi?
Tupe hata ishara ya kitu unachotaka kifanyike tukifanye tu ili utuondolee hiki kitu KIFO tuonyeshe hata ishara baba tufanye nini ili tukusahaulishe maumivu tuliyokusababishia huko nyuma kiasi cha kutuacha na adhabu kali na kubwa isiyozoeleka kama hiii,bado ni mtihani mzito mbele yetu BABA .
DEAR GOD,hear my PRAYERS.
Na kifo mkuu