Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
waweke zote mbili"clouds tv wabadilishe picha waweke ya Kibonde sasa" (ni ushauri tu)
watu mna roho mbaya looh
Hata sisi kwetu haturuhusiwi kuchimba kaburi lilale bila kuzika, labda wazee wa maeneo husika wasiwepo, lakini hata kama wazee hawapo haijawahi tokea hivo, watu wanazikwa hata kama kuna mvua ya namna gani, nakumbuka kuna mtu walimzika huku mvua kubwa inanyesha, kazi ilikua ni kutoa maji yaliyokua yanaingia kaburini.
hapa alivaa viatuVIJANA, NGUVUKAZI INAPUNGUA DUNIANI.View attachment 1040010
Pole kwa msiba[emoji137][emoji137]Loh! inasikitisha sana kwakweli. Apumzike kwa amani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hebu weka picha tuone wanavyozipiga hizo nyimbo