alaksh natena
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 462
- 523
Rip kibonde
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaondoka kweli
Nilimuona kibonde wakati yupo dtv / ctn anaanza kujifunza utangazaji . Alifanikiwa na kuwa mtangazaji mahiri . Poleni familia
Kwani asingewaponda angepewa kibali kuishi milele? Its just his turn, let's wait for ours.Aliwaponda sana kina Dr Ulimboka na walichokuwa wanakipigania enzi zile 2012, sasa yale yale waliyokuwa wanalalamika ndio hayo hayo yamemkuta. Nenda tu kaka panapokustahili
Kwani asingewaponda angepewa kibali kuishi milele? Its just his turn, let's wait for ours.
Kwani ukisema mtu ana Ukimwi ni kumunyanyapaa ?hayo ni Marathi tuMnaomtuhumu kua alikua na ugonjwa Fulani,je nyie mmepima?acheni unyanyapaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Twende kwa Yesu sio kanisani. Tunaweza kwenda Kanisani bila Yesu.Twende kanisan
Twende kwa Yesu sio kanisani. Tunaweza kwenda Kanisani bila Yesu.
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
Habari za hivi punde ni kuwa mtangazaji maarufu wa Clouds FM, Ndugu Ephraim Kibonde amefariki dunia alfajiri ya leo tarehe 7 Machi 2019.
Kibonde alianza kusumbuliwa na presha akiwa katika msiba wa marehebu Ruge Mutahaba huko Bukoba mkoani Kagera na kuhamishiwa hospitali ya Bugando jijini Mwanza ambapo mauti yamemkuta.
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza pamoja na Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM, Sebastian Maganga wamethibitisha kutokea kwa kifo hicho.
Bwana ametoa, Bwana ametwaa
Mwaka jana Ephraim Kibonde alimpoteza mkewe mama Sara Kibonde. Zaidi soma >TANZIA: Ephraim Kibonde afiwa na Mke wake Sara Kibonde - JamiiForums
View attachment 1039958
Ephraim Kibonde akiwa na mkewe enzi za uhai wao
Mkuu hata bila mzungu mbona imani zetu za jadi pia zimetufundisha hivyo. Hujasikia habari za mizimu,mahoka na matambiko mbali mbali kwa hiyo mizimu?Pole sana mkuu kwa uchungu unaopitia, ila kuhusu binadamu kufa hiyo ni nature tu, mzungu/mwarabu alijaribu kutuhadaa kuwa kuna maisha baada ya kifo, its just fiction...
Probably angeondoka kwa style nyingine.Kwani asingewaponda angepewa kibali kuishi milele? Its just his turn, let's wait for ours.
Nishasahau mtumishi [emoji39]Twende kanisan
Mmmh, mkuu lakini sasa hivi tumezidi bwana. Gharama ni kubwa mno ...Mkuu hata bila mzungu mbona imani zetu za jadi pia zimetufundisha hivyo. Hujasikia habari za mizimu,mahoka na matambiko mbali mbali kwa hiyo mizimu?
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
😋😋😋😋Nishasahau mtumishi [emoji39]
Hahahaaaa!jamaniiiiMkuu hata bila mzungu mbona imani zetu za jadi pia zimetufundisha hivyo. Hujasikia habari za mizimu,mahoka na matambiko mbali mbali kwa hiyo mizimu?
Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app