PreGE2025 Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk: Alichofanya Mpina ni utovu wa nidhamu mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Kumekucha wana JF?

Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye.

Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake?

Jana wote tumeona na tumesikia alivyokuwa anaongea jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia kwa furaha kwamba kero zao zimefikishwa wanapopataka.

==

Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk amesema alichofanya Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa ni utovu wa nidhamu.

"Alichokifanya jana Mpina ni utovu wa nidhamu, ni kutokuwa na adabu mbele ya Rais, mbele ya bosi wako kwasababu ukiacha kuwa ni Mbunge, yeye ni Mbunge wa Chama cha mapinduzi na aliyekuwepo pale jukwaani ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti wako, kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti Mwanamke alafu Mama"

Pia, Soma
 
Chawa syndrome

Wataalam wa magonjwa ya kisayansi , generate scientific name ya hili gonjwa lipya linaloenea kwa kasi
 
Atafikiriwa kwenye teuzi kwa kua na smaller balls
 
Mpina anahitaji msaada wa kisaikolijia Asaidiwe.
Trend yake kwa muda mrefu bungeni na nje ya Bunge inonesha ana tatizo kichwani.
 
Huyu mtangazaji ni mzaramo tunajua sifa zao hawa watu....huyu anatokea Jimbo moja na mchengerwa
 
Siko upande wowote, Kazingua ila Mpina kazingua zaidi
 
Nimesikiliza speech ya Mpina, sijaona alipokosa nidhamu. Yaani kudai vitu ni kukosa nidham? Naona ccm inataka kuambiwa hawadaiwi hata ikiwa sio kweli
 
Kumekucha wana JF?

Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye.

==

Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk amesema alichofanya Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa ni utovu wa nidhamu.

"Alichokifanya jana Mpina ni utovu wa nidhamu, ni kutokuwa na adabu mbele ya Rais, mbele ya bosi wako kwasababu ukiacha kuwa ni Mbunge, yeye ni Mbunge wa Chama cha mapinduzi na aliyekuwepo pale jukwaani ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti wako, kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti Mwanamke alafu Mama"

Pia, Soma
Usituleteege wapuuzi humu. Huyo ni mpuuzi na hana hadhi ya kujadiliwa humu.
 
Nashukuru mwandishi amekili kuwa kwa uelewa wake mdogo, ni hilo tu. Kama kuna posho ya kipindi amalize apokee arejee nyumbani
 
Kumekucha wana JF?

Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye.

==

Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk amesema alichofanya Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa ni utovu wa nidhamu.

"Alichokifanya jana Mpina ni utovu wa nidhamu, ni kutokuwa na adabu mbele ya Rais, mbele ya bosi wako kwasababu ukiacha kuwa ni Mbunge, yeye ni Mbunge wa Chama cha mapinduzi na aliyekuwepo pale jukwaani ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti wako, kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti Mwanamke alafu Mama"

Pia, Soma
Kwahiyo mbunge kuwasemea wananchi wake mbele ya namba moja ni utovu wa nidhamu?
 
Kumekucha wana JF?

Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye.

==

Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk amesema alichofanya Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa ni utovu wa nidhamu.

"Alichokifanya jana Mpina ni utovu wa nidhamu, ni kutokuwa na adabu mbele ya Rais, mbele ya bosi wako kwasababu ukiacha kuwa ni Mbunge, yeye ni Mbunge wa Chama cha mapinduzi na aliyekuwepo pale jukwaani ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti wako, kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti Mwanamke alafu Mama"

Pia, Soma

Screenshot_20250306-183123_1.jpg
 
Mpina anahitaji msaada wa kisaikolijia Asaidiwe.
Trend yake kwa muda mrefu bungeni na nje ya Bunge inonesha ana tatizo kichwani.
Sawa . Unazijua kazi za mbunge lakini?
Unaweza kuzitaja hapa bila mawaa ili nawe tujue kama siyo chawa!
Gwajima kakosea
Mpina naye mnasema kakosea
RAISI NI MUNGU?
 
Back
Top Bottom