PreGE2025 Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk: Alichofanya Mpina ni utovu wa nidhamu mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM

PreGE2025 Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk: Alichofanya Mpina ni utovu wa nidhamu mbele ya Rais na Mwenyekiti wa CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
😂😂😂milio inasikika kila kona... Mpina amepiga kwenye mshono!!.
 
Mpina anahitaji msaada wa kisaikolijia Asaidiwe.
Trend yake kwa muda mrefu bungeni na nje ya Bunge inonesha ana tatizo kichwani.
Kuwaombea wanachi kuletewa huduma za kijamii ni kuwa na tatizo la kisaikolojia?. Wenzetu mnatumia mikundu kuwaza na sio kunyea?
 
Kumekucha wana JF?

Haya watetezi wa Rais kazini, huyu Mtangazaji tangu apewe Tuzo kageuka kuwa Chawa naye.

Eti Mpina ni mtovu wa nidhamu kumwambia Rais shida alizotumwa na wananchi wake?

Jana wote tumeona na tumesikia alivyokuwa anaongea jinsi wananchi walivyokuwa wanashangilia kwa furaha kwamba kero zao zimefikishwa wanapopataka.

==

Mtangazaji wa Clouds FM, Khaan Mbarouk amesema alichofanya Luhaga Mpina, Mbunge wa Jimbo la Kisesa ni utovu wa nidhamu.

"Alichokifanya jana Mpina ni utovu wa nidhamu, ni kutokuwa na adabu mbele ya Rais, mbele ya bosi wako kwasababu ukiacha kuwa ni Mbunge, yeye ni Mbunge wa Chama cha mapinduzi na aliyekuwepo pale jukwaani ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti wako, kuna namna ya kuongea na Mwenyekiti Mwanamke alafu Mama"

Pia, Soma
Elimu yake maana bongo Kwa ukajanja na uchawa tumetia fora
 
Mpina anahitaji msaada wa kisaikolijia Asaidiwe.
Trend yake kwa muda mrefu bungeni na nje ya Bunge inonesha ana tatizo kichwani.
Siyo kweli. Ni system ya Mama imemkataa kwasababu zao wanazozijua wenyewe. Wanachokifanya ni kumdhoofisha kwa kila namna kisha kumtupa nje. Na kwa kauli ile ya mwenyekiti wake, wasiojulikana wataingia mzigoni. But mind you yule ni Msukuma na Wasukuma wana jambo lao.
 
Duh na haya mapambio yali ibuka kwa kasi enzi za jiwe naona now hali imekuwa mbaya zaidi, kiasi kwamba usipo msifia alie juu yako unaonekana ni utovu wa nidhamu.
 
WhatsApp Image 2025-06-17 at 01.59.50.jpeg


Sasa Kenge chawa wa mama ulitazamia angesemaje? Akili za wanahabari wa bongo zina bites chache sana yani, hazigandishi
 
The uncomfortable truth about power and Uchawa:


Loyalty stops being a moral principle and becomes a structural requirement.
It's no longer a matter of choice, it's a condition for survival within the system.
 
Huko Bunge
Mpina anahitaji msaada wa kisaikolijia Asaidiwe.
Trend yake kwa muda mrefu bungeni na nje ya Bunge inonesha ana tatizo kichwani
Hivi ni shule Gani inafundisha Mbunge kuwasilisha matatizo mbele ya Rais ni utovu wa nidham tuna Nchi ya hovyo kabisa na watu wa hovyo kama ninyi.
 
Ni Ponjoro huyu bila shaka! Maana Maponjoro wengi wamejaa mashavu.
 
Back
Top Bottom