Mtangazaji wa Clouds Harris Kapiga ameacha kazi?

Mtangazaji wa Clouds Harris Kapiga ameacha kazi?

Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji ''ubunifu wenye tija'' juzi alikuwa mbeya leo naona Yuko Zanzibar....

Hata kuhusu fujo walizofanya wenzake kupost Sikukuu ya Mfalme wa Sebene Kiba yeye kajiweka kando kabisa....
Wenye taarifa rasmi mtujuze
Mwanamme kufuatilia maisha ya watu ni dalili ya ugonjwa uitwao "Delicious Syndrome "
 
Huko znz sasa ndo atarudi na mume kabisaa.. maana mtu mwenyewe yulee ni kama yupo tayari tayari tu anasubiri kuambiwa toa atoe!!
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji ''ubunifu wenye tija'' juzi alikuwa mbeya leo naona Yuko Zanzibar....

Hata kuhusu fujo walizofanya wenzake kupost Sikukuu ya Mfalme wa Sebene Kiba yeye kajiweka kando kabisa....
Wenye taarifa rasmi mtujuze
Wewe ni ke au me??
 
Jinga kabisa.
Mtu mmoja kuacha kazi unaileta humu ndani.

Migodini wameachishwa maelfu na stahiki zao bado hawajapewa afu unaongea mashudu tupu.
 
Back
Top Bottom