Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
- Thread starter
- #21
sawaAcha kukurupuka jombaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaAcha kukurupuka jombaa
hahaaaa...kweli mkuuUgumu wa maisha una madhara mengi.
Mwanamme kufuatilia maisha ya watu ni dalili ya ugonjwa uitwao "Delicious Syndrome "Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji ''ubunifu wenye tija'' juzi alikuwa mbeya leo naona Yuko Zanzibar....
Hata kuhusu fujo walizofanya wenzake kupost Sikukuu ya Mfalme wa Sebene Kiba yeye kajiweka kando kabisa....
Wenye taarifa rasmi mtujuze
Wewe ni ke au me??Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji ''ubunifu wenye tija'' juzi alikuwa mbeya leo naona Yuko Zanzibar....
Hata kuhusu fujo walizofanya wenzake kupost Sikukuu ya Mfalme wa Sebene Kiba yeye kajiweka kando kabisa....
Wenye taarifa rasmi mtujuze
Hahahakaenda kwa ma husbands
AiseeElton john
Duuh..kmbe kitambo watu mna habariElton john
Hmm,kaenda kwa ma husbands