Mtangazaji wa Clouds Harris Kapiga ameacha kazi?

Mtangazaji wa Clouds Harris Kapiga ameacha kazi?

Nilitaka kusema nimetoka kumsikiliza muda si mrefu kuangalia vizuri kumbe ni uzi wa tangu mei
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji ''ubunifu wenye tija'' juzi alikuwa mbeya leo naona Yuko Zanzibar....

Hata kuhusu fujo walizofanya wenzake kupost Sikukuu ya Mfalme wa Sebene Kiba yeye kajiweka kando kabisa....
Wenye taarifa rasmi mtujuze

acha dharau

Kiba ni king wa bongo flavor, sio naija flavor
 
Back
Top Bottom