Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,501
- 28,711
DuhElton john
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhElton john
uzi umefufuka aise duuuu.Duuh..kmbe kitambo watu mna habari
Hh noma saana..uzi umefufuka aise duuuu.
aise kweli kabisa duuuuuu.Hh noma saana..
Umaarufu kitu kitam na kchungu
Data za kitambo...Kapiga...Anapigwa..
Kama kichwa cha habari kinavyosema
Siku kadhaa sasa Mtangazaji maarufu na msomaji wa taarifa ya habari clouds Tv Harris Kapiga haonekani Mjengoni,yuko kwenye kazi zake binafsi ya uhamasishaji ''ubunifu wenye tija'' juzi alikuwa mbeya leo naona Yuko Zanzibar....
Hata kuhusu fujo walizofanya wenzake kupost Sikukuu ya Mfalme wa Sebene Kiba yeye kajiweka kando kabisa....
Wenye taarifa rasmi mtujuze