Mtangazaji wa Efm Maulid Kitenge tumekuvumilia vya kutosha na sasa unatuchosha kama siyo kutuboa

Hawa watangazaji wote ni yanga damu kwa mujibu wake..kwani yule juma nkamia alikuaga timu gani vile,nadhani alikua anafurahia utangazaji wake!!

Tafadhali acha na ukome kumfananisha Mtangazaji nguli na asiye wa mfano wa Michezo Juma Nkamia na hizo ' takataka ' zako zingine sawa? Ni Watangazaji watatu ( 3 ) hapa nchini Tanzania ambao ndiyo Watangazaji wenu wa sasa wa michezo na mipira ndiyo wanawaiga nao ni:
  1. Ahmed Jongo
  2. Charles Hillary
  3. Juma Nkamia
Watoto mliokuwa juzi tu historia hizi za ' kutukuka ' kabisa hamuwezi kuzijua kwani nina uhakika kipindi hicho cha hao ' Watangazaji ' wengi wenu mlikuwa katika Mabeseni mnaoga huku mnanyweshwa uji kama siyo hata kutawazwa ' Nnya ' zenu.
 
Nafikiri jf ingekuwepo kipindi cha utangazaji wa ezekiel malongo ungeleta uzi wako wa kumkandia hapa
 
Nashukuru ile sheria ya kuwataka waandishi wa habari wakasome itasaidia kuwapunguza vilaza hawa.
 
Oya mbona sikupati now days
 
Ana gubu sana hyu jamaa nasi tumemvumilia vya kutosha pia asijione bingwa wa kuvumilia wenzie!
huyu jamaa ni mjuaji sana tena sana yeye hyjiona ana akili sana na ana ujuzi wa kila jambo na kila tasnia... kila siku ana watukana watangazaji
 
anzisha kituo chako nawe uwahoji unao wataka


SHAME ON YOU,NA WENZIO MSIMBAZI MMEKOSA HATA MSHIPA WA AIBU KUSHUPALIA POINT 3 MLIZOPIGWA NA KAGERA
 
Oya mbona sikupati now days

Usijali nitakutafuta very soon tuyajenge Kamarada wangu wa NSTI / SAUT kwani kwa miezi hii mitatu na huu wa nne nilibanwa na majukumu kidogo ambayo hata hivyo nakaribia kuyamaliza.
 
huyu jamaa ni mjuaji sana tena sana yeye hyjiona ana akili sana na ana ujuzi wa kila jambo na kila tasnia... kila siku ana watukana watangazaji

Kabla ya kutiririka na upupu wako huu jiulize kwanza ni kwanini labda Mwenyezi Mungu alinipa Mimi zawadi ya IQ kubwa na nzuri ila Wewe akakunyima na hadi leo hii na uzee wako huo unahangaika kuwa kama Sisi?
 
wanasimba mko kama bashite naona hiii post ya kitenge mmeambiw mrepost eeh coz naona IG, FB mmejitahid lakini wapi mbona uyo manara katokwa na povu tena lenye sumu kisa point za bure ,embu gomeni kuingia uwanjani match zilizobaki tujue kweli mko serious. kila mkishindwa tu maneno hamfungwagi fair nyie TFF its time kwa haji kujumuika na Jerry muro akajifunze kuongea kusport
 
Mi nadhani MAXEMENCE MELLO ni mvumilivu zaidi kuwa na member kama wewe kwa zaidi ya miaka mitatu
 
Ndo utani wa jadi huo jamani vumilieni Maulidi na EFM wameleta msisimko mkubwa ktk vipindi vya michezo redioni fikiri kama mau angekua simba ungechukia? hata sisi tulikua tunachukia haji alivyokua anaongea mau woyeeeee
 
Mfikishieni taarifa hii kuwa tumemchoka na karibuni sasa sisi anaotuumiza uvumilivu dhidi yake utafikia ' Kikomo '.

Nawasilisha.
Nambari 9 mgongoni Maulid Baraka wa Kitenge, piga kazi.

Simba ni timu ya hovyo. Muumizwe na Kagera uwanjani povu mje kuwamwagia TFF na EFM...mbiooo!
 
Efm waliruhusiwa kusikika mikoa 10 Tanga ikiwemo, wataanza kusikika lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…