GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #61
Hawa watangazaji wote ni yanga damu kwa mujibu wake..kwani yule juma nkamia alikuaga timu gani vile,nadhani alikua anafurahia utangazaji wake!!
Tafadhali acha na ukome kumfananisha Mtangazaji nguli na asiye wa mfano wa Michezo Juma Nkamia na hizo ' takataka ' zako zingine sawa? Ni Watangazaji watatu ( 3 ) hapa nchini Tanzania ambao ndiyo Watangazaji wenu wa sasa wa michezo na mipira ndiyo wanawaiga nao ni:
- Ahmed Jongo
- Charles Hillary
- Juma Nkamia