Mtangazaji wa ITV Mabere Makubi usiangaike na ajira ITV, wiki ijayo utapata ajira nje nakamilisha mazungumzo

Watawala wa ccm wanataka kusikia wakipendacho na sio kitokeacho
 
Mkuu Fumadilu Kalimanzila , thanks for this, usemacho ni kweli, we have to do something.
P
 
It's very painful!, most media correspondences ni deiwaka!.
Hili nililijua baada ya kifo cha Daudi Mwangosi wa Channel Ten.

P
Ulichelewa sana kulijua hili. Seems wewe ulikuwa na Mkataba those days.

Hawa “reporters” ni deiwaka tu. Wenyewe eti wanajiita “freelance journalists” huku wakinyonywa left, right & center
 
NAUNGA MKONO HOJA KAMA HAKUTENDEWA HAKI TUPAZE SAUTI ATENDEWE HAKI.INALETA SHIDA SANA MTU ALIYEZOEA KUISHI KWA TALUMA YAKE KUISHI NJE YA TAALUMA GHAFLA.
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu, TBC sikuondoka kwa kutaka, niliondoshwa kwa kosa la insubordination. Naomba nisiingie in details, ila kiukweli kabisa mimi ndiye mkosoaji.
P
Insubordination yako hata usipoitaja. Tunakufatilia tunaweza ihisi tu.
Mana tabia ya mtu ina m-define mtu.
Kwako insubordination hiyo sidhan kama ilikua ya kwanza.na haitakua ya mwisho
 
Ulichelewa sana kulijua hili. Seems wewe ulikuwa na Mkataba those days.

Hawa “reporters” ni deiwaka tu. Wenyewe eti wanajiita “freelance journalists” huku wakinyonywa left, right & center
Niliingia media 1990 kwa kuajiriwa RTD,
1995 nikahamia DTV. 1999 nikaitwa kuanzisha TVT, from ,2005 to date nimekuwa freelance journalist.

Hili la freelancing ni kunyonywa sio kweli, market ya journalism imekuwa saturated na waandishi wengi wasio na kazi, hivyo ili kupata kazi, mwandishi unakuwa uko tayari kujishikisha popote hata bure, kule kushika tuu mic, na kuropoti " Kutoka hapa Mwanza, Kanda ya Ziwa, yenye samaki watamu Sato, mimi ni Mabere Makubi wa ITV" ni dili tosha hata bila mshahara, tule tu little brown nanilius, tunatosha kuendeshea maisha.
P
 
Aisee!
Mtumishi mama D, maoni yako juu ya hili tafadhali 😊
 
Samahani mzee hivi hili la mwangosi liliishaje??
Wale askari walihukumiwa zuga mambo yakaishia hapo.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…