unacheka unamana gani
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 472
- 476
Poleni sana ndugu zetu wanahabari!Naunga mkono hoja
Naunga mkono hoja
This is true, and this is how it should be
Kiukweli sijawahi kufikiria kuanzisha movement yoyote, ila kama baada tuu ya kuuliza lile swali Ikulu siku ile, kilichofuatia ni siri yangu!. Jana nimemsikia Mama kasema Rais Samia: Ukinikuna Vizuri, mimi nakukuna huku nnakupapasa na kukupuliza. Lakini "Ukinipara...Nakuparura!, kuna kuanzisha movement yoyote kweli?.
P
This is what I am talking about Mr. PHili la freelancing ni kunyonywa sio kweli, market ya journalism imekuwa saturated na waandishi wengi wasio na kazi, hivyo ili kupata kazi, mwandishi unakuwa uko tayari kujishikisha popote hata bure,m..
Hili la every Tom, Dick and Harry kuwa journalist, limeleta shida, but now with social media, kila mtu mwenye simu Janka ni photographer, videographer, journalist, mtangazaji, producer etc as a result kumeibuka kada ya waandishi waliovamia fani kwa jina la makanjanja ambao kazi yao ni kufukuzia tuu mishiko to the point, ukiwa na event yako, wanavamia, misosi na vivyaji wanafakamia, kisha kulazimisha mshiko hadi kutia aibu!, hii hupelekea wasiojua, hushindwa kutofautisha nani ni Mwandishi wa kweli wa kustahili kulipwa na nani ni kanjanja na kusababisha sisi wote kudharaulika na sometimes hata kudhalilishwa kama hivi.This is what I am talking about Mr. P
Unaweza kuinvest resources zako adimu kama freelance journalist (fedha, muda, nguvu etc) kuitafuta habari kwa jasho na damu. Ukiipeleka media house wanaikataa na kusema hii sio habari as such… or else ukubali kupokea chochote kitu angalau kufidia kiduchu usumbufu ulioupata. Harafu ukikubali, unaona imerushwa kama cover report
Si ndio mambo ‘inaendaga’ namna hiyo in most cases?
Market kweli ipo saturated. Vyuo vingi vimekua vikipokea every Tom & Harry kusomea journalism, wengine wakitumia vyeti vya form four vya kufoji.
Did you get this kuujua ukada wangu na nilitaka kufanya nini?.Kuanzia ulipotangaza kuwa Kada wa CCM huna haja ya kutuambia kuwa hujafikiria kuanzisha movement yoyote, tuambie tu kwamba huwezi kabisa kuthubutu kufanya jambo kama hilo!
Si kweli ITV kuna majungu sana, bali ofisi au shughuli yoyote inayohusisha kuongea tuu, kuna majungu, kuanzia Bungeni, serikalini, vyama vya siasa, na vyombo vya habari vya utangazaji, fitna na majungu ni modus operandi!.Itv kuna majungu sana pa hovyo
Mungu mbariki Mabere Makubi
Kumbe ITV nao ni wakora?
Lini umeacha Kazi ya kuwa Mwandishi wa Habari na kuwa Polisi na kuanza Kunihoji Kipolisi hivi? Na mamlaka haya dhidi yangu amekupa nani?Duh...!
Media, hatukunyamaza, media zote tuliandika, uwezo wetu ni kuandika tuu. hatuna kitu kingine chochote cha kufanya zaidi ya kuandika, au ulitaka tufanye nini?. Baada kifo cha Daudi Mwangosi, media tukataka kususia habari za polisi lakini tulishindwa, na RC wa DSM, Paul Makonda alipovamia Clouds, TEF ikatuhamssishe tususie habari za Makonda, tulishindwa!. Media Kususia Habari za Fulani: Jee Tanzania Tuna Independent Media Yenye Jeuri Hiyo?.
ulitaka tufanyeje,?
Hapa labda utueleweshe.
Naomba tufafanulie
Hii ni tuhuma nzito!. Thibitisha!.
Hii ni tuhuma nzito, Thibitisha!
Duh...!, hii ni tuhuma nzito sana!, Thibitisha kwa wale uliowasindikiza kwa waganga, wale uliowashikia miguu wakati wanalalwa, na kuambukizwa HIV na hao waliowalala na kisha ukawashikia tena miguu wakati wakiwabukiza HIV wenzao mbalimbali katika vyombo vya habari tofauti tofauti!.
Duh...!, kama hakuna media nchini, jee hii media iliyopo na tunayoita ni media ya Tanzania ni nini?!.
P