Mtangazaji wa kike Azam Tv habari za michezo ananikosha sana

PACHOTO

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
1,321
Reaction score
973
Kuna huyu 'ukti' mdada anasoma habari za michezo baada ya taarifa ya habari AZAM TWO huyu dada ananikosha sana, anatangaza vizuri sana utangazaji wake naufananisha na ule wa ZUHURA YUNUS wa BBC SWAHILI na hata sauti zao zinafanana. kiukweli anatulia, ana pause, na anajua azungumze kitu gan plus mbwembwe za kimichezo, kwa anayemfahamu amfikishie ujumbe kuwa yuko poa sana na segment hyo ya michezo anaipatia.

screenshot_2018-05-08-14-29-09-1-jpg.770090
 
dah picha yake nimeshindwa kuipata ngoja naitafuta maktaba
 
Kuna huyu 'ukti' mdada anasoma habari za michezo baada ya taarifa ya habari AZAM TWO huyu dada ananikosha sana, anatangaza vizuri sana utangazaji wake naufananisha na ule wa ZUHURA YUNUS wa BBC SWAHILI na hata sauti zao zinafanana. kiukweli anatulia, ana pause, na anajua azungumze kitu gan plus mbwembwe za kimichezo, kwa anayemfahamu amfikishie ujumbe kuwa yuko poa sana na segment hyo ya michezo anaipatia.
Ukhti..
 
bila shaka wewe ni mswahilina nenda kawatafute mbona wote hao sura mbovuu
 
Back
Top Bottom