PACHOTO
JF-Expert Member
- Dec 30, 2011
- 1,321
- 973
Kuna huyu 'ukti' mdada anasoma habari za michezo baada ya taarifa ya habari AZAM TWO huyu dada ananikosha sana, anatangaza vizuri sana utangazaji wake naufananisha na ule wa ZUHURA YUNUS wa BBC SWAHILI na hata sauti zao zinafanana. kiukweli anatulia, ana pause, na anajua azungumze kitu gan plus mbwembwe za kimichezo, kwa anayemfahamu amfikishie ujumbe kuwa yuko poa sana na segment hyo ya michezo anaipatia.