mkuu ni huyo huyo, dah umepatia yaani anatangaza vizuri sana, kipaji anacho kiukweliFatma Abdalah Chikawe. View attachment 770090
Mtangazaji bora wa kike wa michezo kwa sasa.mkuu ni huyo huyo, dah umepatia yaani anatangaza vizuri sana, kipaji anacho kiukweli
Umemwangalia kwa jicho la tatuCHIK
CHIKAWE-atakuwa mmwera wa Nachingwea wanajua mambo yetu hao hataariiiii
Ukhti..Kuna huyu 'ukti' mdada anasoma habari za michezo baada ya taarifa ya habari AZAM TWO huyu dada ananikosha sana, anatangaza vizuri sana utangazaji wake naufananisha na ule wa ZUHURA YUNUS wa BBC SWAHILI na hata sauti zao zinafanana. kiukweli anatulia, ana pause, na anajua azungumze kitu gan plus mbwembwe za kimichezo, kwa anayemfahamu amfikishie ujumbe kuwa yuko poa sana na segment hyo ya michezo anaipatia.
Wana mauno kitandani hao, si mchezo kiuno feni. Kiwanda cha dangote kikianza kusupply tena cement nitaenda tena huku, kwa kina Chinga Onehahaaaaa mkuu ni nshakula mmwera mmoja usipokuwa makini ndoa inakushinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaaaaa mkuu ni nshakula mmwera mmoja usipokuwa makini ndoa inakushinda
bila shaka wewe ni mswahilina nenda kawatafute mbona wote hao sura mbovuuKuna huyu 'ukti' mdada anasoma habari za michezo baada ya taarifa ya habari AZAM TWO huyu dada ananikosha sana, anatangaza vizuri sana utangazaji wake naufananisha na ule wa ZUHURA YUNUS wa BBC SWAHILI na hata sauti zao zinafanana. kiukweli anatulia, ana pause, na anajua azungumze kitu gan plus mbwembwe za kimichezo, kwa anayemfahamu amfikishie ujumbe kuwa yuko poa sana na segment hyo ya michezo anaipatia.
Mbaya [emoji23] [emoji188] [emoji188] [emoji125] [emoji100]Fatma Abdalah Chikawe. View attachment 770090
Mbaya [emoji23] [emoji125] [emoji188] [emoji188] [emoji100]Fatma Abdalah Chikawe. View attachment 770090
Mbaya [emoji23] [emoji125] [emoji188] [emoji188] [emoji100]Fatma Abdalah Chikawe. View attachment 770090