Mtangazaji wa kike Azam Tv habari za michezo ananikosha sana

Mtangazaji wa kike Azam Tv habari za michezo ananikosha sana

Hivi yule rose mrutu wa azam TV news ameolewa na nani!
 
Yuko very hamble huyo dada my classmet since tunakula nae mihogo pale uwanja wa mwiba kkoo enzi hzo
 
Utendaji wake wa kazi ni mbovu na yeye pia ni mbovu. [emoji23] [emoji125] [emoji188] [emoji100]
kwani wewe ni mwajiri wake hadi uone kama utendaji kazi wake ni mbaya!??? uchawi si lazima ubebe tunguli
 
Kuna mpuuzi alisha weka ndani mzingo
131004_0079.jpg
maxresdefault.jpg


Cha mtu uliwa na mtu
 
Back
Top Bottom