Mkuu TCleverly nilimaanisha sony lcd tv. Nakushauri na wewe nunua lcd/led tv ufurahie maisha si unajua tena maisha yenyewe mafupi. Badilika mkuu ili uenjoy vipindi mbalimbali kwenye luninga yako.
yupo vizur huyo dada.......katulia......vipi ufoo jamani wa ITV,teh teh
Ufoo saro sijamfuatilia sana utangazaji wake. Hata hivyo angekuwa anatangaza taarifa ya habari ndio angeonekana zaidi
Bwana ray big up,mkeo mtarajiwa anapata flag za kutosha huku
So huwa unamsikia sauti tu au huwa anatangaza eatv pia?
Sijabahatika kukutana na Magreth Cosmas akitangaza. Huwa anatangaza vipindi gani?
yupo vizur huyo dada.......katulia......vipi ufoo jamani wa ITV,teh teh
Ok! yupo Itv na huwa anatangaza taarifa za habari za biashara sasa ukitaka kumfuatilia sana hata kwenye malumbano ya hoja yupo sana tuache unafiki yule kazaliwa na sauti ya kutangaza hata kama kuna watu huwa wanasema kazi mpaka labda mtu atoe kitu kidogo..sasa kwa huyo dada sauti yake tu kwake ndo kitu kidogo yaani inambeba!(kiutangazaji)
UFOO SARO! jina kwanza zuri halafu anajua ila hapa kama umwelewa mtoa mada amesema ampendae ila sisi tunaochangia ndo either kumsapot au na sisi tuseme nani tunampenda kulingana na mtu mwenyewe!tukirudi kwa UFOO ni kwamba ni mchapa kazi yaani kazi za mwanaume mpe tu yule dada ataenda na hata yanapotokea mabomu uwanjani kwenye mikutano ya cha..... unaambiwa ana mbio Usain Bolt kasingiziwa ..tuna vipaji basi tu!

sasa dogo naona kuishi uraian umechoka kama unataka ukapige drum na solo na akina papii kule gerexan jitie uchixi tuuu
Da! Kumbe Sister Farida ka RIP!!! When?Sister Farida R.I.P (enzi za Afro music na akina DJ Mackay E.A radio).
Bila kumsahau Christina Mosha a.k.a Seven.
Ukisema "Ray" unamaanisha Raymond Nyamwihula au sio huyo?
Da! Kumbe Sister Farida ka RIP!!! When?
Invona mzuri bana dah..