Mtangazaji wa kike nimpendaye; Ivona Kamuntu wa star tv

Babavichaa hamuishi vituko, kuna wakati ilikuja uzi kama huu wengi mkampondaaaaaa..

Kwa kuwa tu amemuinterview lisu basi ni mzuriiiiiiiiiii...
 
Siku ya besi dey ya Mandela "angalieni makala niliyoandaa mimi mwenyewe Ivona"

Sasa sijui amegundua asiposema mwenyewe credit zinaenda kwa kina Baragaza..........
 
Huwa si mpenzi sana wa kuangalia taarifa ya habari star tv mara kwa mara isipokuwa ni pale kwenye taarifa zao za kimataifa ambazo huchanganuliwa vizuri. Pia huwa napenda sana kuangalia kipindi cha Dira ya dunia ambacho hurushwa na kituo hiki.

Kwa kipindi chote nachoangalia star tv nimekuwa navutiwa sana na utangazaji wa mrembo huyu Ivona Kamuntu. Kwa kweli napenda anavyotangaza kwa weredi wa hali ya juu na kwa tabasamu bashasha.

Napenda pia sauti zake wakati akitangaza na mavazi mazuri yanayofanya apendezeshe Sonny LCD tv yangu. Vyote hivi nadhani vinachangiwa na reception nzuri aliyokuwa nayo.

Keep it up Ivona! Je wewe huvutiwa na mtangazaji gani wa kike/kiume kwa local tv?

ivona kamuntu - Google Search

Pale STAR TV aliwahi kuwepo dada matat sana anaitwa Johan Tanisa, mtoto alikuwa mwororo sana yule sijui kenda wapi, nilijaribu kumtafuta sana mwanza bila mafanikio
 
Naungana nawe kumtafuta popote pale alipo!
 
Kwakweli binafsi pia namkubali Ivona na ukimtazama unaona kabisa yupo ngazi nyingine tofauti na wenzake nafkr ana fursa kubwa sana huko mbele
 
REgina Mwalekwa...
Huwa si mpenzi sana wa kuangalia taarifa ya habari star tv mara kwa mara isipokuwa ni pale kwenye taarifa zao za kimataifa ambazo huchanganuliwa vizuri. Pia huwa napenda sana kuangalia kipindi cha Dira ya dunia ambacho hurushwa na kituo hiki.

Kwa kipindi chote nachoangalia star tv nimekuwa navutiwa sana na utangazaji wa mrembo huyu Ivona Kamuntu. Kwa kweli napenda anavyotangaza kwa weredi wa hali ya juu na kwa tabasamu bashasha.

Napenda pia sauti zake wakati akitangaza na mavazi mazuri yanayofanya apendezeshe Sonny LCD tv yangu. Vyote hivi nadhani vinachangiwa na reception nzuri aliyokuwa nayo.

Keep it up Ivona! Je wewe huvutiwa na mtangazaji gani wa kike/kiume kwa local tv?

ivona kamuntu - Google Search
 
By Trance M
Huwa si mpenzi sana wa kuangalia taarifa ya habari star tv mara kwa mara isipokuwa ni pale kwenye taarifa zao za kimataifa ambazo huchanganuliwa vizuri. Pia huwa napenda sana kuangalia kipindi cha Dira ya dunia ambacho hurushwa na kituo hiki.

Kwa kipindi chote nachoangalia star tv nimekuwa navutiwa sana na utangazaji wa mrembo huyu Ivona Kamuntu. Kwa kweli napenda anavyotangaza kwa weredi wa hali ya juu na kwa tabasamu bashasha.

Napenda pia sauti zake wakati akitangaza na mavazi mazuri yanayofanya apendezeshe Sonny LCD tv yangu. Vyote hivi nadhani vinachangiwa na reception nzuri aliyokuwa nayo.

Keep it up Ivona! Je wewe huvutiwa na mtangazaji gani wa kike/kiume kwa local tv?

ivona kamuntu - Google Search

Pale STAR TV aliwahi kuwepo dada matat sana anaitwa Johan Tanisa, mtoto alikuwa mwororo sana yule sijui kenda wapi, nilijaribu kumtafuta sana mwanza bila mafanikio

Teh teh funguka mzee
 
Yaani huyo Ivona simpendi to be honest. Kweli uzuri uko machoni pa mtu coz huo uzuri sihuoni hapo.
Simpendi coz namwona kama Wolper ivi..ongea flani fake wenyewe mmeibatiza jina eti confidence, ana swaga flan ivi I guess kuna mtangazaji anamuadmire sa anajaribu kupaste xter..kwanza mara anakosea kosea. Anantibua...pritenda mkubwa
 
yah,nakubaliana na ww mkuu.anaboa sana huyu mtangazaji kwa mipozi yake ya ajabu ajabu.mie ananiboa sana anapotangaza utafikiri anatongozwa.mipozi halafu anajishaua kwa kuvuta sauti utafikiri yupo na hanjumati wake.pia huwa anakosea kosea maneno utadhani hajui kusoma.kwa kifupi hana lolite la kusifiwa.
 
Joan Itanisa yupo hapahapa Mwanza PhD

Pale STAR TV aliwahi kuwepo dada matat sana anaitwa Johan Tanisa, mtoto alikuwa mwororo sana yule sijui kenda wapi, nilijaribu kumtafuta sana mwanza bila mafanikio
 
Yaani huyo Ivona simpendi to be honest. Kweli uzuri uko machoni pa mtu coz huo uzuri sihuoni hapo.
Simpendi coz namwona kama Wolper ivi..ongea flani fake wenyewe mmeibatiza jina eti confidence, ana swaga flan ivi I guess kuna mtangazaji anamuadmire sa anajaribu kupaste xter..kwanza mara anakosea kosea. Anantibua...pritenda mkubwa

Teh kila mtu ana hisia zake na kila mtu anaguswa kivyake na huyu mtangazaji. Msua1 Unampenda mtangazaji gani wa tv hapa Bongo?
 
Last edited by a moderator:
Yaani huyo Ivona simpendi to be honest. Kweli uzuri uko machoni pa mtu coz huo uzuri sihuoni hapo.
Simpendi coz namwona kama Wolper ivi..ongea flani fake wenyewe mmeibatiza jina eti confidence, ana swaga flan ivi I guess kuna mtangazaji anamuadmire sa anajaribu kupaste xter..kwanza mara anakosea kosea. Anantibua...pritenda mkubwa

Uko sawa kabisa,huyu mtangazaji anafake kuongea hayuko real na hata kuna wakati alikuwa akijaribu kuweka mapoz ya kukaa kama kikeke! Akiacha kufeki ni mtangazaji mzuri,binafsi nampenda sana Magreth Cosmas wa ITV
 
Back
Top Bottom