Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

πŸ˜ΆπŸ€¨πŸ˜‘πŸ€”
 
Mbona Prisca anatafunwa na yule waziri mwenye ngozi ya mbaka mabaka

Kausha Ndugu usimtaje tafadhali kwani hata Mimi namjua na nalijua hilo tena kwa 100% kabisa ila sijataka Kumuweka wazi hapa. Namuheshimu.
 
Waziri aliyepewa sumu enzi za JK au siyo! Wadau mna nyeti balaa!! Lakini tuliambiwa na kipande cha mti,kua Waziri ni grid ya taifa!!!

Tunaompenda huyo Binti ( Dada ) tulipoona tu huyo Waziri anamtaka tulimshika Masikio asiwe nae ila akatudharau na sasa ameshayavagaa mno.
 
Ila acheni tu huyo Dada Leo awe na Maisha mazuri na Kutiwa ( Kunyiriwa ) hivyo na huyo Waziri kwani nikiweka hapa Historia yake wengi mtalia.
😒😒😒😭😭
 
Tunaompenda huyo Binti ( Dada ) tulipoona tu huyo Waziri anamtaka tulimshika Masikio asiwe nae ila akatudharau na sasa ameshayavagaa mno.
Mzee wa degree 4 hivi hana ngoma kweli yule
 
Mara nyingine unakuta wamezoeana Hadi kubadilishana mawasiliano binafsi ukiachana na Ile namba inayotumika na public hivyo ni rahisi ujumbe wake kuonekana kuliko wale wanaotumia namba ya public.
 
Wajadi fundi au mwite binaadamu mashaka wa mahuta shimoni huyu jamaa hata huyo uliyemtaja anasubiri kwa huyuπŸ˜‚
Kabisa afu Kuna kata mwivi lwambano wa chabela camp dodoma ..dah yani jamaa walikua kila day
 
Ila acheni tu huyo Dada Leo awe na Maisha mazuri na Kutiwa ( Kunyiriwa ) hivyo na huyo Waziri kwani nikiweka hapa Historia yake wengi mtalia.
Mpaka Sasa bado ana Hali Mbaya Sana
 
Miaka ya nyuma nikiwa Arusha, radio sauti ya injili walikuwa wanapenda kumtaja mzee zakaria ndemfoo, ino wa ino, David Urassa, na mathayo shoo hayo yalikua majina makuu , kwahiyo simshangai Prisca
 
Nawapongeza Clouds..habar za manara ni kama hawazioni wala kuzisikia.
 
Au kulikuwa kuna mtu anajiita Wajada fundi Wajadi Binadamu Mashaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…