Mtangazaji wa Michezo Wasafi FM Maulid Kitenge, Kuzurura kote Ulaya na Marekani bado tu Kiingereza kinakutesa?

Mtangazaji wa Michezo Wasafi FM Maulid Kitenge, Kuzurura kote Ulaya na Marekani bado tu Kiingereza kinakutesa?

Mleta mada tunaomba sredi hii uipost tena kwa Kiingereza
Naomba nisaidiane na Maulid Kitenge Kuiandaa na Kuiweka hapa kwa Kiingereza kwani Mwenzangu Yeye anakijua vyema kuliko Mbayuwayu Mimi All - Rounder.
 
Watu wana ma PhD na mavyeo makubwa tu hapa Tz lakini "wanabananga" kizungu, itakuwa huyo mtangazaji?
 
Sasa kubananga kizungu nayo ni sifa?
Ndio mkuu. Kubananga ni kuharibu...sio sifa nzuri. Na kwa kweli ni kwa lugha yoyote.

Jaribu kupitia CV za watu wengi tu utaona kuna sehemu wanaonesha lugha wanazoweza kuzungumza/kusikia/kuandika nk na kiwango chake. Ama?
 
Sijui kwanini wabongo huwa mnataka uperfect kwenye hii lugha wakati kwenye uhalisia haipo hivyo na ndio maana tuna wahindi au wasomali wameishi hapa miaka kwa miaka na wengine wamezaliwa Tz kabisa ila bado kiswahili chao kina makosa ila sio issue kwetu wanaongea tunawaelewa makosa wanayoyafanya kwenye uongeaji wao wala hayatushughlishi na wazungu nao hufanya hivyo hivyo nasi tunapoongea kiingereza,ila sasa sisi tunataka tukiongea kiingereza kiwe perfect ukikosea unachekwa(hadi na wasiojua) na ukiwa hujui ndio unadharaulika kabisa.
 
Ukiwakuta kwenye magazeti wanavopayuka na zembwera kukiponda kiingereza ,Leo wanaumbuka mbele ya maiki

Wasafi watangazaji smart ni

Charles ,aisee huyu anajua kuongea kwa hekima, busara na point

Runyagira ,amesoma anajua kuchambua mambo .
 
Siku baba levo akikutwa na wazungu studio sipati picha itakuwaje ,ataingia chini ya meza kabisa ...!

Hajua hata ataongea nin zaidi ya kucheka Cheka tu...!
 
Kutokuiweka iyo to kunasababisha "Ambiguity" structural ambiguity ambayo inaweza inaleta Barrier kwenye communication.
Inaleta barrier ikiwa unaongea na watu ambao sio wa lugha hiyo yaani na wao mi wanajifunza.

Ndio maana mzungu akiongea na wewe kiswahili unamuelewa japokuwa anapapasia lakini kwa kuwa wewe ni native unamuelewa vizuri.

Kwa suala la barrier ya communicaton haimati.
 
Anachokijua Mtangazaji Maulid Kitenge ni kwenda huko Majuu ( Ulaya na Marekani ) huku akipiga Picha akiwa katika Mighahawa na Kujiegesha katika Gari za Kifahari hi huku kila akiunganishwa na Wenzake wa Mbezi Beach utamsikia ' naripoti nikiwa hapa Washington DC Marekani ' wakati pamoja na kuwa hapo Kiingereza pekee anachokijua ni cha kusema ' Welcome Tanzania ' tu. Hovyo kabisa!!!!!!!
anatangaza akitokea Minosota marekani sio washington

Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
 
Next time " MY YOUR NAME IS FWEFWE"!
1615008907579.png
 
Sifa kubwa ya mwandishi wa habari ni kujua lugha mbalimbali at least 2 za kimataifa.

Mojawapo ya kazi zao ni kufanya mahojiano na watu tofauti, wa mataifa tofauti.

Kama kweli amefanya hivyo ni kanjanja najua utopolo watamtetea ila ukweli utabaki kama ulivyo
Bongo zozo anajua kiswahili lakini huwezi kusema kuwa hakosei baadhi ya vitu akiongea.

Na kitenge pia anajua kiingereza japokuwaacanakosea.

Nyie watu mtu anapokosea juu ya lugha fulani mnasema hajui
 
Bongo zozo anajua kiswahili lakini huwezi kusema kuwa hakosei baadhi ya vitu akiongea.

Na kitenge pia anajua kiingereza japokuwaacanakosea.

Nyie watu mtu anapokosea juu ya lugha fulani mnasema hajui
Kama anajua kiingereza angeongea na hao wageni moja kwa moja wote tunajua aina ya mahojiano anayofanya kitenge yeye huwa ni muongeaji zaidi na kuuliza maswali zaidi ila kwa mzungu alinywea kwa sababu lugha zinagongana usimtetee
 
Back
Top Bottom