#COVID19 Mtangazaji wa NTV ya Kenya, Amina Abdi afiwa na bibi yake baada ya kupewa chanjo ya COVID-19

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
7,134
Reaction score
4,556
- Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasa hivi imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe

Chanjo ya PFIZER imepunguza sana mzigo wa UVIKO Uingereza.

Utafiti uliohusisha watu 170,000 baada ya kupata chanjo umeonyesha idadi ya wagonjwa kupungua kwa asilimia 75 kwa watu wenye umri kati ya miaka 80 hadi 83 ndani ya siku 35 hadi 41 baada ya kupata dozi ya kwanza.
Kasi ya maambukizi imepungua kwa asilimia 70. Idadi ya waathirika imeshuka kutoka asilimia 15.3 hadi 4.6 kwa watu 100,000 waliopimwa.

CHANZO
telegraph.co.uk April 14 2021
11:27 PM
 
Unajua ww UZI wako ni mzuri sanaa shida umeuharibu kwa kuketa siasa za kiTz, unajua unge elezea side effects za chanjo naa tukio lenyewe la kifo cha huyo bibi sasa ww mzee umeleta upwaguzi
- Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasahv imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe

jamaa
 
Chanjo ya PFIZER imepunguza sana mzigo wa UVIKO Uingereza.

Utafiti uliohusisha watu 170,000 baada ya kupata chanjo umeonyesha idadi ya wagonjwa kupungua kwa asilimia 75 kwa watu wenye umri kati ya miaka 80 hadi 83 ndani ya siku 35 hadi 41 baada ya kupata dozi ya kwanza.
Kasi ya maambukizi imepungua kwa asilimia 70. Idadi ya waathirika imeshuka kutoka asilimia 15.3 hadi 4.6 kwa watu 100,000 waliopimwa.

CHANZO
telegraph.co.uk April 14 2021
11:27 PM

uviko-19 bana ni very complex, yenyewe ndiyo inaamua kupungua au kuongezeka. Hakuna mtu anayeipangia. Chukulia mfano wa India miezi michache iliyopita. Walikuwa na kiwango kidogo sana cha maambukizi na vifo vya uviko. Lkn kwa sasa ni ya pili baada ya Brazil kwa maambukizi na vifo. Jana walirekodi maambukizi zaidi ya laki moja.
 
Hizi taarifa ziko wapi kwenye chombo cha habari cha kuaminika, maana naona Watanzania mnakesha mkitafuta chochote kitakachosemwa dhidi ya chanjo ili kuwatia watu wenu uwoga, sijui kwa faida ya nani maana kwa sasa nilijua baada ya kuondoka kwa yule baba mliyekua mnamuogopa mtaanza kutumia ubongo kwenye hili la covid ili kuondokana na ule ujuha wenu wa mara covid iko kwenye mapaipai, mara imefutwa kwa maombi haipo tena.

Mara ya mwisho nilisoma Wakenya waliochanjwa wametimia laki nne (400,000), sasa huyu bibi mnayesema ameathirika na kufa kutokana na chanjo, zileteni taarifa za kuaminika na ifahamike alikua na issue gani nyingine kabla ya hapo.
Kwenu huko wenye hela yao wameshatoka nje ya nchi na kwenda kuchanjwa, akina Mbowe wametangaza hadharani, na lazima hata viongozi wa CCM wenye hela wameshajiondokea kimya kimya kwenda kupata chanjo, walalahoi wasokua na jana wala kesho ndio wanaimbishwa hizi ngonjera.
 
- Mengi yanaendelea kuhusu chanjo ya covid ambayo ilitolewa ndan ya miezi michache tu na tukalazimishwa kuchanjwa wote bila kuuliza maswali, sasa taarifa nnayotoka kuskiliza apa ni kwamba achana na wale wa blood clotting, sasa hivi imepiga hatua zaidi izi taarifa zimfikie mbowe

Waandishi bwana! Hajasema ni chanjo ipi lakini watu wanaamini ni chanjo ya Covid!!
 
Nyie mnaotumia AKILI inazidi kuwabamiza.
Hyo sio ya Leo wala kesho
Hizi taarifa ziko wapi kwenye chombo cha habari cha kuaminika, maana naona Watanzania mnakesha mkitafuta chochote kitakachosemwa dhidi ya chanjo ili kuwatia watu wenu uwoga, sijui kwa faida ya nani maana kwa sasa nilijua baada ya kuondoka kwa yule baba mliyekua mnamuogopa mtaanza kutumia ubongo kwenye hili la covid ili kuondokana na ule ujuha wenu wa mara covid iko kwenye mapaipai, mara imefutwa kwa maombi haipo tena.

Mara ya mwisho nilisoma Wakenya waliochanjwa wametimia laki nne (400,000), sasa huyu bibi mnayesema ameathirika na kufa kutokana na chanjo, zileteni taarifa za kuaminika na ifahamike alikua na issue gani nyingine kabla ya hapo.
Kwenu huko wenye hela yao wameshatoka nje ya nchi na kwenda kuchanjwa, akina Mbowe wametangaza hadharani, na lazima hata viongozi wa CCM wenye hela wameshajiondokea kimya kimya kwenda kupata chanjo, walalahoi wasokua na jana wala kesho ndio wanaimbishwa hizi ngonjera.
Screenshot_20210501-180911.jpg
 
Slavery mentality is killing many in Africa
 
Waandishi bwana! Hajasema ni chanjo ipi lakini watu wanaamini ni chanjo ya Covid!!

ndo maaana ya news, kutoa habari kwa kupindisha ama habari za kutisha ndo znakua headlines
 
Back
Top Bottom