Ndio ujue kuna radio presenter na journalist! Hapa bongo hawa wawili hatuwatofautishi. mmoja anajua kusoma kilichoaandaliwa na mmoja ni chanzo cha yanayoandaliwa kusomwa na radio ama tv presenter! Sasa unapokuta presenter anaanza kufanya kazi ya journalist wakati hajabombea katika hilo ndo utasikia madudu mengi yafananayo na hayo.