Gerald Hando nilisha muombea msamaha kwenye swala la Bunge lisirushwe live maana natambua uwezo wake wa ku reason ni mdogo mno.Tatizo la watangazaji wa redio hizi za udaku ndio wale walofeli sasa ulitegemea angemuuliza maswali gani mama Ndalichako?Hivi kama sio uwenda wazimu kweli mtangazaji hajui majukumu ya NECTA?Watangazaji makini hujiandaa kwa kusoma yale mambo anayotarajia kuhoji.Najisikia aibu baadhi ya watangazaji wanaaibishhwa na watangazaji feki kama hawa?Nafikiri watangazaji nguli kama Gabriel Zakaria,Baruan mwahuza n.k kaani na hawa vijana welekezeni mnafanyeje interview wanazidi kuwadhalilisha na tasnia yenu ina onekana ya mambumbumbu.