Mtangazaji wa redio kutoka Tanzania amekamatwa na dawa za kulevya Kenya!

Aise mimi namjua sana ni rafiki yangu nilimaliza nae kibosho girls mwaka 2004 baadae akaenda kusomea mambo ya uandishi wa habari akawa anafanya mwananchi communication baada ya muda alienda sweden kujiendeleza kimasomo na akaolewa huko na juzi xmas tulikuwa nae dsm kwan alikuja likizo hii habari imenisikitisha sana kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza
 
Sio mbaya alikuwa anajaribu maisha.Hakuwa anasafirisha kodi zetu kwenda kuzificha huko.Kwa umri wake mzigo utakuwa sio wake anatumiwa.
 
Wapogo wengi sana hapa tz na wanajulikana sema mlungula unafanya Kazi
 

Kwahiyo sio mtangazaji kama wanavyodai
 
yesu mashirima, nkiki mcho????/
umekosa kazi halali?? Mkuu Rombo dada yako anatuaibisha.

shule alishindwa, biashara alishindwa,kuolewa anapiga mumewe, kuuza mbunye hawezi kwani analala tu, akafundishwa KAZI akashindwa, sasa apelekwe wapi? Ni kwenye unga tu.
 
Jaman alikua homegirl wng kabisa,,kweli nimeamini umdhaniaye kumbe siyo
 

Duh kweli Dunia kigetto na si kijiji tena. Dah hapo nimewakubali makamanda.
 
Ni kitu cha kushangaza sana huyu mtangazaji amepitia wapi? hadi kuingia nchi jirani inamaanisha hatuna ulinzi wa kweli au ni mizengwe tu inafanyika!!
 

Jamani angalieni mambo ya mistaken identity, i
Angalieni isije ikawa sio mwenyewe mtu wa watu wakapata shida. Mambo ya Sandy hook shooting mistaken identity. Jina la kaka likawa IDed kama ndo the killer kumbe mdogo mtu.

Jus be careful with personal info za mtu
 
Mmmmmmh,mtangazaji wa radio gani...au online radios maybe!

Sent from my BlackBerry deesaba using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Could she be the one using AngaliaBongoTZ on twitter?

Sent from my BlackBerry deesaba using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Hujakosea ki2 maelezo yako ni 100% baada ya hapo alienda kufanya kazi kituo kimoja cha redio ambacho kinapendwa sna bt hakuwa mtangazaji km wanavyosema,,,hii ishu hta siamin sna tuache vyombo vya dola bt hii habari nimekuwa so sad
 


Mkuu Heroin kilo 5.4 ni milioni 13???
Nakuheshimu mkuu.
 


Ndege wafananao huruka pamoja...
kama yeye ni Gagulo basi wewe ni Sidiria zote nguo za ndani.
 
Sio mbaya alikuwa anajaribu maisha.Hakuwa anasafirisha kodi zetu kwenda kuzificha huko.Kwa umri wake mzigo utakuwa sio wake anatumiwa.


Hakika wewe ni mpambanaji...
This is usefull post katika hii thread...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…