pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 880
Aise mimi namjua sana ni rafiki yangu nilimaliza nae kibosho girls mwaka 2004 baadae akaenda kusomea mambo ya uandishi wa habari akawa anafanya mwananchi communication baada ya muda alienda sweden kujiendeleza kimasomo na akaolewa huko na juzi xmas tulikuwa nae dsm kwan alikuja likizo hii habari imenisikitisha sana kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza