Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,833
- 11,173
Siwezi kuwataka radhi hawa MULES; Putin, Chomba na huyo dada yao!!
Ndinani!
Huyu dada ni jizi!Lilini tapeli mm ingawaje hawa mandondo wanataka kutuonyesha kuwa ukikutana na mtu kwenye networks basi ni halali kukuibia!
Nilipofuatilia nikajua ameiba kwa sababu ya maisha magumu yanayomkabili;Kwao ni Sinza kumechoka na wanauza ubuyu na maji kujiongezea kipato!