F FOCAL JF-Expert Member Joined Jun 25, 2019 Posts 3,513 Reaction score 5,035 Mar 30, 2024 #81 Lax said: Jana tumecheki game, na leo wanaweka tena, japo kuna watu wanalalamika quality, ila safi tu kwa mtazamo wangu Click to expand... Ila quality ni duni sana, inakuwa kama enzi zile tunaangalia yale masinema ya kutumia vitambaa vyeupe.
Lax said: Jana tumecheki game, na leo wanaweka tena, japo kuna watu wanalalamika quality, ila safi tu kwa mtazamo wangu Click to expand... Ila quality ni duni sana, inakuwa kama enzi zile tunaangalia yale masinema ya kutumia vitambaa vyeupe.
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Mar 30, 2024 #82 Ukweli Ambao Hausemi Ni Unafk Wa Wana Habari Kusifia Badala Ya Kujikita Kwenye Ukweli, Tazama Amesifia Mpaka Ameharibu Na Hapo Utakuta Oops Awamu Ya 6 Bhalaaa Bhalaa
Ukweli Ambao Hausemi Ni Unafk Wa Wana Habari Kusifia Badala Ya Kujikita Kwenye Ukweli, Tazama Amesifia Mpaka Ameharibu Na Hapo Utakuta Oops Awamu Ya 6 Bhalaaa Bhalaa