Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

Mtangazaji wa TBC 1 anasema meli ya MV Mwanza itapiga route ikiwa ziwa Victoria kwenda Sudani Kusini, Burundi, Zambia Congo na Malawi

Status
Not open for further replies.
Jana tumecheki game, na leo wanaweka tena, japo kuna watu wanalalamika quality, ila safi tu kwa mtazamo wangu
Ila quality ni duni sana, inakuwa kama enzi zile tunaangalia yale masinema ya kutumia vitambaa vyeupe.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ukweli Ambao Hausemi Ni Unafk Wa Wana Habari Kusifia Badala Ya Kujikita Kwenye Ukweli, Tazama Amesifia Mpaka Ameharibu Na Hapo Utakuta Oops Awamu Ya 6 Bhalaaa Bhalaa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom