Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na boss wake Diamond kuwa na uwezo wa utangazaji pia na elimu ya utangazaji akaamua kumuamishia Wasafi media baada ya kufungua media.