Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

Kingine washaurini wale wenye kipind cha mchana waache shobo za kuwapgia artist wa mbele..

Juzi nmewaskia nkaishia kucheka tu..

Maswali yao utaskia
Kwanini umeamua kuuita jina hili album yako

Album yako utarelease lini

Instagram umem unfollow AKA kwanini

Kwakweli n vtuko. Waambieni waongeze ubunifu tu. Hzo intaview hazina tija yeyote kwa msikilizaj wa shinyang
 
Rayvan alipewa gari

Harmonize alipewa

Zuchu kapewa

Lava lava kapewa

Mbosso kapewa

Uyo sjui cameraman kapewa

Zari alipewa
alipew

Tanasha alipewa

Swali. Inamaana mishahara wanayopewa huwa haiwatoshi hadi kusubiri huruma za boss wao

Kwann kwny hafla za kutoa gari haambatanishi na kadi?

Kwann huwanyang'anya hizo gari pnd wanapotofautiana..
Wewemwenyewe unajichanganya kwenye maelezo yako umesema kwanini anapowapa gari awapewi na kadi hapo hapo unasema Tena kwanini anawanyan'ganya pindi anapotofautiana nao huoni Kama umeingia choo Cha kike?
 
Rayvan alipewa gari

Harmonize alipewa

Zuchu kapewa

Lava lava kapewa

Mbosso kapewa

Uyo sjui cameraman kapewa

Zari alipewa
alipew

Tanasha alipewa

Swali. Inamaana mishahara wanayopewa huwa haiwatoshi hadi kusubiri huruma za boss wao

Kwann kwny hafla za kutoa gari haambatanishi na kadi?

Kwann huwanyang'anya hizo gari pnd wanapotofautiana..
Lugha nzuri ni kwamba wanaazimishwa, ukitofautiana nao wanachukua gari lao
 
Aisee, hapo wasafi media sijui nani hajapita na hiyo pisi,
 
WATUONESHE KADI BASI LIKIWA NA JINA LAKE

ova
 
Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na boss wake Diamond kuwa na uwezo wa utangazaji pia na elimu ya utangazaji akaamua kumuamishia Wasafi media baada ya kufungua media.View attachment 1558573

Diamond anawatomba hawa watoto wazuri wazuri, mbona siku zote hagawi zawadi kwa wanaume? Labda yule mzee wa Marquiz band
 
Shehe Kipozeo alishawahi kuwa mtangazaji wao hapo, lakini hawakumpa hata baiskeli. Waambieni waache upendeleo.
 
Kama kawaida ya kiki wachafu fc. Gari la esma harusini limeyeyuka
Wapenda kiki wale eti alisema hakulipenda kaagiza lingine! Ila na ndoa yake nayo imepoooooza utafikiri ilipata stroke siku ile ukumbini kulikoni??
 
Mtangazaji wa Wasafi media aaliyah Mohamed azawadiwa gari na uongozi wake kwa kuonesha ufanisi mkubwa wa kazi.Ikumbukwe kuwa aaliyah ndiye mtangazaji wa kwanza kuajiliwa na Wasafi media na kabla ya hapo alikuwa anafanya kazi pale palipokuwa Ni office ya WCB label sinza .Baada ya kuonwa vizuri na boss wake Diamond kuwa na uwezo wa utangazaji pia na elimu ya utangazaji akaamua kumuamishia Wasafi media baada ya kufungua media.View attachment 1558573
Angekuwa wa kiume sawa lakini wa kike??
Gari hivi hivi yaani hivi hivi!!!naomba niishie hapo
 
Angekuwa wa kiume sawa lakini wa kike??
Gari hivi hivi yaani hivi hivi!!!naomba niishie hapo
Unataka kuniambia hata luakamba ambaye Ni me naye kadinywa ndio akapewa gari na diamond?
 
Back
Top Bottom