Msukuma wa dar
JF-Expert Member
- Jul 14, 2016
- 1,160
- 1,195
Kingine washaurini wale wenye kipind cha mchana waache shobo za kuwapgia artist wa mbele..
Juzi nmewaskia nkaishia kucheka tu..
Maswali yao utaskia
Kwanini umeamua kuuita jina hili album yako
Album yako utarelease lini
Instagram umem unfollow AKA kwanini
Kwakweli n vtuko. Waambieni waongeze ubunifu tu. Hzo intaview hazina tija yeyote kwa msikilizaj wa shinyang