Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona usemi gari la luakamba Ni Kiki Kama unachosema unakimaanisha?Hakuna povu hapo ni ukweli mtupu. Kiki ya magari ishapitwa na wakati
Mbona usemi gari la luakamba Ni Kiki Kama unachosema unakimaanisha?
Numbisa Kwa akili tu ya kawaida Tasisi kubwa Kama ya Wasafi media itashindwa vipi kumpa mfanyakazi wao gari? ambaye Ni Kama icon na image ya Tasisi yao cos ndio mfanyakazi ambaye wameanza nae from scratch tangu akiwa wanafanya nae kazi before hata ya kuanzishwa media yaoSikuiona thread husika,nitag nikaseme ni kiki
Pia kuna lile gari la wasikilizaji wa kipindi gani sijui uliweka uzi vipi lilishatolewa?
Numbisa Kwa akili tu ya kawaida Tasisi kubwa Kama ya Wasafi media itashindwa vipi kumpa mfanyakazi wao gari? ambaye Ni Kama icon na image ya Tasisi yao cos ndio mfanyakazi ambaye wameanza nae from scratch tangu akiwa wanafanya nae kazi before hata ya kuanzishwa media yao
Si mtu maarufu kwanini iwe kimya kimya?Kiki wangempa kimya kimya wangepungukiwa na nini?
Mtu imara sio mkongwe kwenye Wasafi mediana yule mtu imara mumpe gari na yeye
Oh basi sawa kumbe mmeanza na wakongwe.Mtu imara sio mkongwe kwenye Wasafi media
Duarte Apewe Kiki au promo au public sympathy kwa sababu zipi?Wakati huyo dada Ni Kama legend au icon ya media yao so lazima apewe heshima katoka mbali na Wasafi media kuliko wafanyakazi wote wa Wasafi Kama tu video photographer wa diamond kapewa gari itashindikana kwa huyo?kupewa kwake gari Ni Kama motivation ya kazi kwa uchapakazi wake mzuri lakini pia itasaidia hata wafanyakazi wengine waongeze juhudi.
Halafu apo wasafi wanatangazaga nn??
Kila nikiskiliza naskia tu babako,sijui bango kubwaa, Mara lock neneee..!
Alafu wanamalizia tukae humoooo...
Kaz kweli