Video naona imegoma kupost humu ngoja wenye simu za maana watapostMbona hujaweka picha ya hiyo zawadi.
Ndio yeye huyo mwingine yupo na nilimuona kwenye hiyo video ya aaliyah alipozawadiwa gari lakini sijui amepangiwa jukumu gani maana hatumuoni in front of camera.Huyu ndio alikuwa na yule demu mwingine na Jonijoo kwenye kipindi kimoja!? Kama ndiye, yule mwingine bado yupo hapo kituoni?
🤣🤣🤣🤣 Kumbe umenotices hiloHongera zimfikie
Ila umwambie aache kuvaa nguo za watoto
Duarte Apewe Kiki au promo au public sympathy kwa sababu zipi?Wakati huyo dada Ni Kama legend au icon ya media yao so lazima apewe heshima katoka mbali na Wasafi media kuliko wafanyakazi wote wa Wasafi Kama tu video photographer wa diamond kapewa gari itashindikana kwa huyo?kupewa kwake gari Ni Kama motivation ya kazi kwa uchapakazi wake mzuri lakini pia itasaidia hata wafanyakazi wengine waongeze juhudi.
- Kiki
- Promo
- Kutafuta public sympathy
Kuna vitu vingine si vyakutoa povu hata kwenye Hili kweli unatoa povu?Kama kawaida ya kiki wachafu fc. Gari la esma harusini limeyeyuka
Hata me nimemmisi hasa Yale matiti yake yananivutiaga aisee nazani wamempa majukumu nje ya in front ya camera maana namuonaga Sana kwenye events za Wasafi mediaIla cally psoo wamrudishe tume mmiss sana
Kuna vitu vingine si vyakutoa povu hata kwenye Hili kweli unatoa povu?