Mtangazaji wa Wasafi media azawadiwa gari na uongozi wake

Ni mtangazaji mahiri kweli kweli
kipozi Binafsi nimefurahi Sana huyu dada kupewa hiyo zawadi yupo vizuri Sana alafu Ni dada mmoja ambaye yupo peace Sana na ajui kuringa niliwahi kukutana nae mlimani city
 
Sikuiona thread husika,nitag nikaseme ni kiki

Pia kuna lile gari la wasikilizaji wa kipindi gani sijui uliweka uzi vipi lilishatolewa?
Mbona usemi gari la luakamba Ni Kiki Kama unachosema unakimaanisha?
 
Reactions: amu
Sikuiona thread husika,nitag nikaseme ni kiki

Pia kuna lile gari la wasikilizaji wa kipindi gani sijui uliweka uzi vipi lilishatolewa?
Numbisa Kwa akili tu ya kawaida Tasisi kubwa Kama ya Wasafi media itashindwa vipi kumpa mfanyakazi wao gari? ambaye Ni Kama icon na image ya Tasisi yao cos ndio mfanyakazi ambaye wameanza nae from scratch tangu akiwa wanafanya nae kazi before hata ya kuanzishwa media yao
 
Kiki wangempa kimya kimya wangepungukiwa na nini?
 
mnaosema ni kiki nadhani hamtumii akili zenu vyema, watu maarufu hufanya event zao buplic ajili ya branding, usione brand ya wasafi inaimarika daily kuliko brand zingine ukadhani ni bahati no, wao kila kitu wafanyacho hulenga kujibrand ndo maana wanakua kila kukicha.

hao wasiopenda show off unaona daily wapo vile vile coz wanahisi show off ni kiki na ushamba bt wenye kujua show off sio kiki bali ni branding style tena yenye tija kubwa.
 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 

Rayvan alipewa gari

Harmonize alipewa

Zuchu kapewa

Lava lava kapewa

Mbosso kapewa

Uyo sjui cameraman kapewa

Zari alipewa
alipew

Tanasha alipewa

Swali. Inamaana mishahara wanayopewa huwa haiwatoshi hadi kusubiri huruma za boss wao

Kwann kwny hafla za kutoa gari haambatanishi na kadi?

Kwann huwanyang'anya hizo gari pnd wanapotofautiana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…