K keke Senior Member Joined Aug 10, 2011 Posts 106 Reaction score 14 Mar 8, 2012 #21 kwani huwa anatangazaaaa au anasoma ngonjeraaa?????????
Mulhat Mpunga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2010 Posts 27,256 Reaction score 16,317 May 12, 2014 #22 nimekumbuka mbali.hvi huyu yupo mana li tv lenyewe wala ciangaliagi
Murano JF-Expert Member Joined Mar 11, 2012 Posts 2,056 Reaction score 1,102 May 13, 2014 #23 hiv mbona waandish wa vyombo kama bbc hawana swaga hizo za kulemba sauti unlimited? maana this is too much!!
hiv mbona waandish wa vyombo kama bbc hawana swaga hizo za kulemba sauti unlimited? maana this is too much!!
qn of sheba JF-Expert Member Joined Sep 13, 2011 Posts 3,230 Reaction score 1,380 May 13, 2014 #24 Anabore analazimisha sana fani
njellu Member Joined Jan 6, 2013 Posts 44 Reaction score 16 May 13, 2014 #25 Kuna kitu hakipo sawa kwa huyu jamaa,kuna habari za chini chini kuwa ni punga,tembeleeni Mbezi Makabe kwa Liperanya mtapata habari zake
Kuna kitu hakipo sawa kwa huyu jamaa,kuna habari za chini chini kuwa ni punga,tembeleeni Mbezi Makabe kwa Liperanya mtapata habari zake