Mtangazaji wa Zamadani-TBC

Mtangazaji wa Zamadani-TBC

kwani huwa anatangazaaaa au anasoma ngonjeraaa?????????
 
nimekumbuka mbali.hvi huyu yupo mana li tv lenyewe wala ciangaliagi
 
hiv mbona waandish wa vyombo kama bbc hawana swaga hizo za kulemba sauti unlimited? maana this is too much!!
 
Kuna kitu hakipo sawa kwa huyu jamaa,kuna habari za chini chini kuwa ni punga,tembeleeni Mbezi Makabe kwa Liperanya mtapata habari zake
 
Back
Top Bottom