Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
eti kakapendea nini, binadam bwana....Hivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Hamna lolote, sasa why Ruge kazaa na kale kashichana ka THT ? Limbwata la kinyarwanda linafanya kazi.Mbunye yake imetukuka.
Sio bure lazima mzizi wa Rwanda unafanya kazi.eti kakapendea nini, binadam bwana....
Na dini anabadili, watu wale ubwabwa... we kazana kusema kakapendea nini
Hapo sawa maana hata baada ya Ruge kuzaa na msichana mwingine baada ya Shubi, Zama Ilibidi aende Rwanda kwanza. Kurudi tu yule binti wa THT kapigwa chini mazima. Chezea watusi wewe walitaka kitu watakipata at any cost.Huwezi ukanyimwa kila kitu mkuu, yeye kapewa akiliya kukaa na mwanamme
Hamna cha wivu wala nini, mwanaume alizaa nje live, ila Zama akavumilia tu. Pesa ipo ila machozi kila siku na kuandika insha instagramWivu utakuua!
sent from servant of God
Si
Sio bure lazima mzizi wa Rwanda unafanya kazi.
Ndiyo, mzizi wa kitusi kwenye hela hauchezi mbali.Hahaa wewe ushautumia huo mzizi nini?
Mambo ya ndani hayo..Hivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Hahahahhh Mkuu kipendacho roho hula nyama ......Hivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Kanamgawia milango yoteHivi Ruge sijui kakapendea nini, Skeleton tupu.
Apo kwenye Ndondo Cup [emoji478]Ndio huyu
Walikuwa wanaogombea UboooHuyu si ndiyo yule mwenye bifu na Dina Marios (nam admire huyu dada sana nikiangalia na historia ya maisha alikotoka kupoteza mama etc) anyways nisichnganye mambo... ni huyu au nakosea? Kwani Ruge amemuwowa au come to stay in action!?
Hhahahahahahaahhaahaaaaaa bae hivi lini utaacha kuzinguaPicha hii hapaa...
Sina mie mnipishe..
Mkuu hebu tudadavulieni mbona mnaquotiana kimafumbo.