Mtangazaji Zamaradi Mketema hongera sasa kwa Kunenepa!

Mtangazaji Zamaradi Mketema hongera sasa kwa Kunenepa!

Huwezi ukanyimwa kila kitu mkuu, yeye kapewa akiliya kukaa na mwanamme
Hapo sawa maana hata baada ya Ruge kuzaa na msichana mwingine baada ya Shubi, Zama Ilibidi aende Rwanda kwanza. Kurudi tu yule binti wa THT kapigwa chini mazima. Chezea watusi wewe walitaka kitu watakipata at any cost.
 
Huyu si ndiyo yule mwenye bifu na Dina Marios (nam admire huyu dada sana nikiangalia na historia ya maisha alikotoka kupoteza mama etc) anyways nisichnganye mambo... ni huyu au nakosea? Kwani Ruge amemuwowa au come to stay in action!?
 
Walikuwa wanaogombea Ubooo
 
Ruge kaishi ughaibuni si unajua watu wa huko wao na matinginya mbalimbali kitu portable ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom