GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Na ukizingatia Watani zangu Wahaya kwa 99% ni Waganda na Boby Wine nae ni Mganda nahisi labda ni Ndugu kwa jinsi walivyofanana. Ni kama hata Mimi pia Watu wengi wanavyosema kuwa nafanana mno na yule 'Mjanja Mjanja' wa 'Kiimani' Tanganyika Packers Kawe.
ANGALIZO
Hili ni Jukwaa la CHATS and JOKES hivyo kama una Stress plus Frustrations zako za Kimaisha tafadhali kaa mbali Ok?
ANGALIZO
Hili ni Jukwaa la CHATS and JOKES hivyo kama una Stress plus Frustrations zako za Kimaisha tafadhali kaa mbali Ok?