Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Utopolo ni kutopiga picha hilo bus la BM likiwa hapo uwanjani,hii hoja watu wa Yanga ipotezeeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha na wameshindwa kuleta picha ya hilo bus la pili la BM ...hapa ndio walipoonesha utopolo waoBantu Lady yanga ndiyo walioleta kipengele cha kuvunja kanuni kwa kuwahujumu Simba sc wasifanye mazoezi.
Sababu ya kuahirishwa kwa hii mechi ni ya kipumbavu na inakera mpaka imepitiliza.Ila hapa naona kama hiyo bodi ya ligi ndio imejaa wapumbavu.
Huwezi ghairi mechi kipumbavu namna hiyo tena masaa machache kabla ya mechi.
Ushauri wangu kwa Yanga ni kwamba kama wasipocheza mechi leo, wagome wasicheze tena. Sijaona sababu zenye mashiko zimetolewa
Hakuna mtu anaogopa, kwani walipopigwa faini CAF waliogopa nini? Matukio yasiyo ya kimchezo, tusiyatukuze na kuona ni ya kawaida. Hayo mambo kama timu imebobea wafanye wenyewe kwa siri huko. Ndiyo maana soka limebaki kwa timu, 2 kama si 3 tu. Kimataifa ndiyo tia maji. Tushabikie zaidi mchezo wenyewe, kuliko hayo makandokando. Tukomeshe hadharani.
Haya chezeni leo Yanga tumewafungulia na mageti mcheze mnavyoweza matokeo mtatupatia bodi ya ligi tu-update msimamo wa ligiIla hapa naona kama hiyo bodi ya ligi ndio imejaa wapumbavu.
Huwezi ghairi mechi kipumbavu namna hiyo tena masaa machache kabla ya mechi.
Ushauri wangu kwa Yanga ni kwamba kama wasipocheza mechi leo, wagome wasicheze tena. Sijaona sababu zenye mashiko zimetolewa
Yanga hatuna kipengele mtani, kipengele mlikuja nacho nyie jana watani.Bantu Lady yanga ndiyo walioleta kipengele cha kuvunja kanuni kwa kuwahujumu Simba sc wasifanye mazoezi.
Yanga ataletaje kipengelee wakati mwenye funguo Meneja hana taarifa.Bantu Lady yanga ndiyo walioleta kipengele cha kuvunja kanuni kwa kuwahujumu Simba sc wasifanye mazoezi.
Huyu wanaomtegemea kwa akili yeye kwenye wale watoto wa mzee sule, yeye pekee ndiye alifanikiwa kufauli darasa la saba kijiji kizima.Halafu utakuta kwenu wanakuamini na kukutegemea.
Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku.
Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea lile Bus wakaanza kusikia sauti za Mbuzi na Kondoo ndani ya Bus.... Mgogoro ukaanzia hapo.
Simba Ina Majeruhi 2 wa Wachezaji wa Kikosi Cha kwanza, Camara na Arteba, Wazee wakawaambia Mechi ya Leo tutafungwa lah twende tukaicheze Ile Mechi uwanjani, ikaonekana ni jambo gumu coz Watu wangeona kama wangeenda kufanya Mazoezi mida ya saa 10 jioni.
Wakapata wazo kwamba wataenda kufanya Mazoezi usiku, ili wakati wao wanazuga na Mazoezi, Wazee waendee kuicheza Mechi ya Leo wakiwa pale pale uwanjani.
Kwa vile Simba ni watu sana wanaamini Ushirikina (Rejea tu tukio la Simba kuwasha moto Mechi na Kaizer chief) na Huwa hawana aibu kufanya mambo ya Kishirikina.
Makomando wa Yanga wakakataa kuwaruhusu Simba kuingia Taifa, wakawaambia kama mnataka ingizeni Bus Moja tu lenye Wachezaji, Simba wakakataa wakisema lazima waingize na Bus la Wazee wao wakiwataja kama Mashabiki wao, Makomando wa Yanga wakasema basi Leo hamuingii humu ndani, Simba wakaamua kuondoka.
Wakaenda kufanya Kikao na Wazee wao, Wazee wakawaambia kama kesho mkipeleka Team Kwa maana ya Leo, mnaenda kufa Goli 7, na Kwa vile imeshindikana kwenda kuicheza Mechi sisi wenyewe Taifa, kesho Msipeleke Team uwanjani.
Andikeni malalamiko ili Mechi isogezwe mbele, Majeruhi wetu watakua wamepona, pia matokeo yatabadirika kutegemea na tarehe husika na siku husika...!
Wameandika Barua Bodi ya ligi, mwanzo Bodi ya ligi ilitoa msimamo kwamba Mechi lazima ichezwe, kama Kuna uvunjifu wa kanuni, Team itaadhibiwa Kwa mujibu wa kanuni, lakini Kwa vile Bodi ya ligi inaendeshwa na viongozi wengi wa Simba, wakaamua kukwepesha Kanuni.
Sasa hivi Yanga ipo Taifa inamsubiri Simba, Simba wasipokuja Yanga wanataka point zao 3 na magoli 3.... Wameshasema kama SI Leo hawatacheza Mechi na Simba kwenye Mechi zilizobaki.
Ugomvi ambao Bodi ya ligi wameuanzisha Kwa kukwepesha Kanuni na kusogeza Mechi mbele, hawana uwezo wa kuumaliza Wala TFF haiwezi zaidi ya kupiga Yanga point 3, lah..... Ugomvi utaenda kumalizwa CAF ama FIFA.
Azam inabidi watueleze na kibwagizo Chao Cha matangazo ya Derby....kwamba...
"Hii Derby Haina Kipengele Mtani, Kipengele labda ukilete wewe.....!
Kususia Mechi ya hii kulipagwa zamani.
Nilikuwa nimeshaiona hii dabi kwenye ulimwengu wa roho,kama ingechezwa leo,kwenye macho ya nyama ubao ungesoma yanga 3 na Simba sc 7.Yanga hatuna kipengele mtani, kipengele mlikuja nacho nyie jana watani.
Mpaka Muda huu...hakuna aliyethibitisha hii habari ya makomandoo..Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku.
Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea lile Bus wakaanza kusikia sauti za Mbuzi na Kondoo ndani ya Bus.... Mgogoro ukaanzia hapo.
Simba Ina Majeruhi 2 wa Wachezaji wa Kikosi Cha kwanza, Camara na Arteba, Wazee wakawaambia Mechi ya Leo tutafungwa lah twende tukaicheze Ile Mechi uwanjani, ikaonekana ni jambo gumu coz Watu wangeona kama wangeenda kufanya Mazoezi mida ya saa 10 jioni.
Wakapata wazo kwamba wataenda kufanya Mazoezi usiku, ili wakati wao wanazuga na Mazoezi, Wazee waendee kuicheza Mechi ya Leo wakiwa pale pale uwanjani.
Kwa vile Simba ni watu sana wanaamini Ushirikina (Rejea tu tukio la Simba kuwasha moto Mechi na Kaizer chief) na Huwa hawana aibu kufanya mambo ya Kishirikina.
Makomando wa Yanga wakakataa kuwaruhusu Simba kuingia Taifa, wakawaambia kama mnataka ingizeni Bus Moja tu lenye Wachezaji, Simba wakakataa wakisema lazima waingize na Bus la Wazee wao wakiwataja kama Mashabiki wao, Makomando wa Yanga wakasema basi Leo hamuingii humu ndani, Simba wakaamua kuondoka.
Wakaenda kufanya Kikao na Wazee wao, Wazee wakawaambia kama kesho mkipeleka Team Kwa maana ya Leo, mnaenda kufa Goli 7, na Kwa vile imeshindikana kwenda kuicheza Mechi sisi wenyewe Taifa, kesho Msipeleke Team uwanjani.
Andikeni malalamiko ili Mechi isogezwe mbele, Majeruhi wetu watakua wamepona, pia matokeo yatabadirika kutegemea na tarehe husika na siku husika...!
Wameandika Barua Bodi ya ligi, mwanzo Bodi ya ligi ilitoa msimamo kwamba Mechi lazima ichezwe, kama Kuna uvunjifu wa kanuni, Team itaadhibiwa Kwa mujibu wa kanuni, lakini Kwa vile Bodi ya ligi inaendeshwa na viongozi wengi wa Simba, wakaamua kukwepesha Kanuni.
Sasa hivi Yanga ipo Taifa inamsubiri Simba, Simba wasipokuja Yanga wanataka point zao 3 na magoli 3.... Wameshasema kama SI Leo hawatacheza Mechi na Simba kwenye Mechi zilizobaki.
Ugomvi ambao Bodi ya ligi wameuanzisha Kwa kukwepesha Kanuni na kusogeza Mechi mbele, hawana uwezo wa kuumaliza Wala TFF haiwezi zaidi ya kupiga Yanga point 3, lah..... Ugomvi utaenda kumalizwa CAF ama FIFA.
Azam inabidi watueleze na kibwagizo Chao Cha matangazo ya Derby....kwamba...
"Hii Derby Haina Kipengele Mtani, Kipengele labda ukilete wewe.....!
Kususia Mechi ya hii kulipagwa zamani.
Ulimwengu wako wa kiroho haukutendei haki. Mechi ilichezwa juzi tulishinda magoli zaidi ya 2. Ndiyo maana madunduka ilibidi waicheze usiku wa jana, kuzirudisha kabla ya leo. Huu mchezo hautaki hasira... nawapa jina jipya wakimbizi...Nilikuwa nimeshaiona hii dabi kwenye ulimwengu wa roho,kama ingechezwa leo,kwenye macho ya nyama ubao ungesoma yanga 3 na Simba sc 7.
Dabi ijayo mtaleta timu uwanjani?Ulimwengu wako wa kiroho haukutendei haki. Mechi ilichezwa juzi tulishinda magoli zaidi ya 2. Ndiyo maana madunduka ilibidi waicheze usiku wa jana, kuzirudisha kabla ya leo. Huu mchezo hautaki hasira... nawapa jina jipya wakimbizi...
Kwanza tarehe ambayo watapanga ili ichezwe, najitolea kuandamana hakuna kupeleka timu. Hatuwezi kuwa na ligi ya kipumbavu hivi. Kilichofanyika leo ni ujinga uliotukuka.Dabi ijayo mtaleta timu uwanjani?
Mimi napendekeza Yanga wapigane proxy war.Mimi sio shabiki kindaki ndaki wa mpira lakini kwenye hili suala mashabiki inabidi na wao waoneshe msimamo wao. Wanachotakiwa kufanya ni kutokuingia uwanjani siku mpya ya mechi (itakayopangwa na bodi). Naamini kuna viongozi wa mashabiki wa hivi vilabu viwili, watoe msimamo wao kuwa pesa walizolipia kwenye mchezo huu zitumike kwenye michezo mingine ila sio mchezo mpya wa Yanga na Simba. Wacheze wenyewe uwanjani bila mashabiki na mapato ya uwanjani ili liwe funzo waache kucheza na akili na pesa za mashabiki. Tofauti na hivyo hivi vilabu na hao TFF/Bodi hawataacha huu ujinga kamwe!
Ngapi ngapi huko?😃😆🤣Jana wote tumeshuhudia Ma bus makubwa 2 yakitaka kuingia Uwanja wa Mkapa usiku.
Moja likiwa Bus la Simba, lingine likiwa Limejaa Wazee sijui walitoka wapi...! Makomando wa Yanga hawakuwa na tatizo na Bus la Simba, walitaka kujua lile Bus jingine la BM limewabeba kina nani..!? Walipolisogelea lile Bus wakaanza kusikia sauti za Mbuzi na Kondoo ndani ya Bus.... Mgogoro ukaanzia hapo.
Simba Ina Majeruhi 2 wa Wachezaji wa Kikosi Cha kwanza, Camara na Arteba, Wazee wakawaambia Mechi ya Leo tutafungwa lah twende tukaicheze Ile Mechi uwanjani, ikaonekana ni jambo gumu coz Watu wangeona kama wangeenda kufanya Mazoezi mida ya saa 10 jioni.
Wakapata wazo kwamba wataenda kufanya Mazoezi usiku, ili wakati wao wanazuga na Mazoezi, Wazee waendee kuicheza Mechi ya Leo wakiwa pale pale uwanjani.
Kwa vile Simba ni watu sana wanaamini Ushirikina (Rejea tu tukio la Simba kuwasha moto Mechi na Kaizer chief) na Huwa hawana aibu kufanya mambo ya Kishirikina.
Makomando wa Yanga wakakataa kuwaruhusu Simba kuingia Taifa, wakawaambia kama mnataka ingizeni Bus Moja tu lenye Wachezaji, Simba wakakataa wakisema lazima waingize na Bus la Wazee wao wakiwataja kama Mashabiki wao, Makomando wa Yanga wakasema basi Leo hamuingii humu ndani, Simba wakaamua kuondoka.
Wakaenda kufanya Kikao na Wazee wao, Wazee wakawaambia kama kesho mkipeleka Team Kwa maana ya Leo, mnaenda kufa Goli 7, na Kwa vile imeshindikana kwenda kuicheza Mechi sisi wenyewe Taifa, kesho Msipeleke Team uwanjani.
Andikeni malalamiko ili Mechi isogezwe mbele, Majeruhi wetu watakua wamepona, pia matokeo yatabadirika kutegemea na tarehe husika na siku husika...!
Wameandika Barua Bodi ya ligi, mwanzo Bodi ya ligi ilitoa msimamo kwamba Mechi lazima ichezwe, kama Kuna uvunjifu wa kanuni, Team itaadhibiwa Kwa mujibu wa kanuni, lakini Kwa vile Bodi ya ligi inaendeshwa na viongozi wengi wa Simba, wakaamua kukwepesha Kanuni.
Sasa hivi Yanga ipo Taifa inamsubiri Simba, Simba wasipokuja Yanga wanataka point zao 3 na magoli 3.... Wameshasema kama SI Leo hawatacheza Mechi na Simba kwenye Mechi zilizobaki.
Ugomvi ambao Bodi ya ligi wameuanzisha Kwa kukwepesha Kanuni na kusogeza Mechi mbele, hawana uwezo wa kuumaliza Wala TFF haiwezi zaidi ya kupiga Yanga point 3, lah..... Ugomvi utaenda kumalizwa CAF ama FIFA.
Azam inabidi watueleze na kibwagizo Chao Cha matangazo ya Derby....kwamba...
"Hii Derby Haina Kipengele Mtani, Kipengele labda ukilete wewe.....!
Kususia Mechi ya hii kulipagwa zamani.
Hakuna sauti mtaacha kutoa vyura nyie🤣😂😁😀😄😃😆😅Mimi napendekeza Yanga wapigane proxy war.
Wakubali kuingia hasara wawafadhili wafanyabiashara na washabiki waliosafiri kutoka mikoani wafungue kesi ya madai dhidi ya bodi ya ligi walipwe hasara walizopata.
Hii itakua funzo kwao na watakao kuja kughairisha mechi kingesengese kwa kumlinda mtoto mdekaji Dunduka.